Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Boyz vs MEN as usual ..half time 2-0 to Chelsea lol
Hapa mbona kimya sana leo?
Huyu anayeitwa Walcott huyu ni katuni, wala sio mchezaji .lol
- Duh! washakula 2-mtungi? Sasa hii nini netiboli au? Kelele nyingi kumbe wadosi hawa Arsenal?
FMES!
Kimyaaaaaaaaaaaaa nyumba hii!!! Naona the white witch anafundisha chekechea wa Mr. Bean shooting styles... Tatizo anawapa adult doses wakati vijamaa ni pediatrics
I miss Ebue..lol