DaaahAlikurupuka Sasa hivi kawa na adabu na yeye ana negotiate,
Ametumia £650m akataka kushuka daraja
Akaona Arsenal tunafaidi kwa mudrky akavamia akala za uso €100m
Akamsajil Enzo kwa £107m ,timu ikiwa nafasi ya 10 , ndio kwanza akateremka had nafas ya 12
Kwasasa amekuwa mpole ndio maana unaona mwez wa 2 huu anasumbuana na Brighton.
Mwaka Jana alienda akamalizana na Leeds kwa Raphina ili Arsenal tukose akakuta mchezaji hataki anataka kwenda Barca, wakati huo Edu alishapewa taarifa na Deco asipeleke ofa ya 2 sababu Mchezaji anaenda Barca .
Tajiri miluzi kwasasa amerudi kwenye utamaduni wa usajili , sitashangaa akigoma kulipa £100m kwa Caicedo ,maana kajikuta msimu huu wale aliohijack wote Ni magarasa
Mkuu huu ni ukweli wa wazi kabisa...yule tajiri miluzi alivamia biashara ya mpira kichwakichwa....aombe msimu huu timu ifanye vzuri...ikiflop tena hakyanani atapagawaDaaahwewe jamaa ndo maana tukifanya vibaya wanatuvamia sana humu, unakera sana
Kuna muda na joke ,ila huo ndio ukweliDaaahwewe jamaa ndo maana tukifanya vibaya wanatuvamia sana humu, unakera sana
Atarud marekan kuwekeza kwenye ule mpira wao timu haishuki daraja hata iwe ya mwishoMkuu huu ni ukweli wa wazi kabisa...yule tajiri miluzi alivamia biashara ya mpira kichwakichwa....aombe msimu huu timu ifanye vzuri...ikiflop tena hakyanani atapagawa
Hii inaisaidiaje Chelsea angalau msimu ujao muingie hata top 6?Nawasalimu wana Gunners. Je mnaikumbuka hii Fainali?View attachment 2680220View attachment 2680221View attachment 2680222View attachment 2680224
Hii inaisaidiaje Chelsea angalau msimu ujao muingie hata top 6?
Granit Xhaka has just signed contract as new Bayer Leverkusen player.️
Kagoma kutoa £100mWatoe hela wamnunue si wanataka.... after all tajiri miluzi ni mtu ambaye akitaka kitu hakubali kushindwa....
Timber medical keshoArsenal have booked medical tests for Declan Rice on Friday. Club record signing will complete tests tomorrow.
Documents being checked and set to be signed within 24 hours between #AFC and West Ham.
Club record deal now finally set to be officially completed.️
Asikubali...amnunue si kauza watu wengi au anaogopa tena FFP...yy aweke hela mezani aache ubahili...wanasema Caicedo ni mzuri kuliko Rice kule kwny jukwaa laoKagoma kutoa £100m
Anaogopa kupigwa
Ujue Brighton matapeli Sana, mchezaji kawika msimu mmoja wanasema watamuuza Bei sawa na Rice ambaye ana msimu wa 3 Sasa anafanya kitu kile kile
Kuliwahi kuwa na debate humu ya Yves Bissouma aliwaka Sana Kama Caicedo , wengi walimlaumu Sana Arteta kwanini hataki kumsajili ilihali mchezaji kaonesha kabisa anataka kuja Arsenal ,
Mwisho alienda Spurs kufika pale hata benchi alikosa namba ,na sasa kasahaulika kwenye ulimwengu wa ma DM,
Lakini ilikuwa kila takwimu humkosi Yves Bissouma
Tajiri miluzi baada ya kupigwa za uso kwa mudrky na akamsajili Enzo kwa £107m akatoka nafasi ya 10-12 , amekuwa mjanja
Chelsea are refusing to meet Brighton’s demand of £100m for Moisés Caicedo. They do not want to pay over £80m and are wary of getting burned in negotiations.
[@JacobSteinberg] -Tier 1
Kenge Fc nao unawaona Wana akili timamu wale?Asikubali...amnunue si kauza watu wengi au anaogopa tena FFP...yy aweke hela mezani aache ubahili...wanasema Caicedo ni mzuri kuliko Rice kule kwny jukwaa lao
Kwa hiyo kw akili yako timamu Enzo na Mudryk unaona miluzi amepgwa?Kagoma kutoa £100m