result of having many young players, several just signed new contracts and therefore being worth moreMost valuable squad team in the world
Latest list
Kina Flano na genge lake watakuja kuwabishia Transfermarket
View attachment 2679581
Hatari sanaNavosikia, Real wakimchukia Mbape kutokana na dau lake, itabidi wauze mchezaji ili kuepuka ffp
Msimu ujao nasema hivii, Arse88 mnamaliza chini y chelsea, km chelsea nafas y 10 basi Ars88 atakua 13.Mpira mchezo wa waz sio chumban ,Nan kadanganywa hapo
Mlidai hata top 4 hatuingii
Timu yenu iliyosajili lundo la wachezaji kwa £650m ikataka kushuka daraja, na mliitabiria ubingwa , Nan muongo Sasa hapo
Safari hii mmesajili wasukuma wakutosha Cha ajabu unaamin mtagombea ubingwa ,Mimi nasema Kama mwaka Jana ,msimu huu mkipambana Sana top 10 labda
Tunaweka kumbukumbu ,kwa timu ile kipa pazia kepa, CF msukuma Jackson , Kiungo legelege yule mliyepigwa Enzo, mabeki wale trip shamba trip gerejiMsimu ujao nasema hivii, Arse88 mnamaliza chini y chelsea, km chelsea nafas y 10 basi Ars88 atakua 13.
Mi Lavia tu mtu sana. Ila tajiri miluzi tayari anataka kumchukua.Kuimarisha mildfielder n jambo zuri, lakin nataman tungapata pia centre forwad amabae hana mambo mengi yaan awe target man likes of kane/ vlahovic, then jesus arud winga ya kushoto asaidiane na Martinel na trossad asaidiane na saka kulia ama tukipata na winga nyingine inayo weza cheza both side sio mbaya lakin nataman sana tupate forward( target man)
Mirror nachelewaga kuwaamini haoArsenal transfer window not finished yet after £210m spent on Rice,Havertz and Timber with Romeo Lavia is still in their sights
(@johncrossmirror )
mirror.co.uk/sport/football…
Bila ya uwepo wa professional CF Wout François Maria Weghorst hio list itakua ni batiliCF Bora kwa mujibu wa ESPNView attachment 2679802
Tomi for few gamesUtabiri wangu Timber, Saliba, Gabriel, Tomiyasu, hii itakuwa backline ya Arsenal msimu ujao.
Mirror na the sun ni wadaku, ila Wana waandishi Kama jack rosser Ni very reliable hata John crossMirror nachelewaga kuwaamini hao
Dr. shika wa UK kasema bado yupo kwenye mbio za kuinunua manjestaDaaahhh inauma sana kumuona jirani yako anajipakulia tu minyama nyama halafu sisi tunahangaika na viporo vya maharage.
Ila yote maisha tukutane August ligi ikianza ndio tutajua mbivu na mbichi.
Dr. shika wa UK kasema bado yupo kwenye mbio za kuinunua manjestaDaaahhh inauma sana kumuona jirani yako anajipakulia tu minyama nyama halafu sisi tunahangaika na viporo vya maharage.
Ila yote maisha tukutane August ligi ikianza ndio tutajua mbivu na mbichi.
Dr. shika wa UK kasema bado yupo kwenye mbio za kuinunua manjesta
Anasema ana uhakika atashinda zabuni hana wasiwasi, Muarabu akalime tende
Hua sinaga imani yoyote na matajiri wembamba.
Dr. Shika aende akapambane kwanza na lile timu lake la Ufaransa linalokaribia kushuka daraja kila msimu.
Kama timu hawataki kumpa mwarabu ni bora iendelee kubaki tu kwenye mikono ya hao Vilazers lakini sio kumuingiza Dr. Shika.