arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Wanasema wanamsajili Kane...mi nawaombea wampate af tukutane palepale Darajani kwao tuwabake tena....Hawa ni kuwaacha wabweke sasahivi ila ligi ikianza tuwakande tena....sikumbuki mara ya mwisho wametufunga lini HawaMpira mchezo wa waz sio chumban ,Nan kadanganywa hapo
Mlidai hata top 4 hatuingii
Timu yenu iliyosajili lundo la wachezaji kwa £650m ikataka kushuka daraja, na mliitabiria ubingwa , Nan muongo Sasa hapo
Safari hii mmesajili wasukuma wakutosha Cha ajabu unaamin mtagombea ubingwa ,Mimi nasema Kama mwaka Jana ,msimu huu mkipambana Sana top 10 labda
Kumbe Hadi huko wanaelewa kwamba city ni plastic club with plastic fans️ |Declan Rice did not want to go to any ‘plastic’ club like Man City, per @FabrizioRomano.
Romano: “Key factor to this deal is Declan Rice did not want to go to any kind of ‘plastic club’. His father Sean Rice is very critical of Manchester City.”
“Rice wants a relationship with the fans, and see passion in the Arsenal Football Club.”
#AFC #Transfers #Rice #MCFC #WHUFCView attachment 2678961
Jude Bellingham nae alisema hawez kwenda kwa mancity sababu Ni plastic clubKumbe Hadi huko wanaelewa kwamba city ni plastic club with plastic fans
Hata mumkabidhi Shetani ,hiyo timu mtaendelea kuwa kichwa Cha mwendawazimu, kocha mnayemwamini anaeenda kusajili Brazilian efua Morrison kwa €100m ,wale vilaza(Glazers) ni wapuuzi sana timu imeshawashinda kuiendesha lakini bado wanaing'ang'ania.
Nyie Arsenyani subirini timu tumkabidhi mwarabu halafu muendelee kuleta hizo taarabu zenu.
Kane anaenda Bayern MunichWanasema wanamsajili Kane...mi nawaombea wampate af tukutane palepale Darajani kwao tuwabake tena....Hawa ni kuwaacha wabweke sasahivi ila ligi ikianza tuwakande tena....sikumbuki mara ya mwisho wametufunga lini Hawa
Jude Bellingham nae alisema hawez kwenda kwa mancity sababu Ni plastic club
Wewe Manjesta wameshinda carabao wametrend kuliko walioshinda treble
Sasa timu ina mashabiki wawilidaaahhh matusi haya,
Ngoja wakazi wa mliMancity wasikie halafu uone balaa lake.
Sasa timu ina mashabiki wawili
Wewe Manjesta wamebeba carabao ambalo Ni sawa na mapinduzi cup lakin wame trend kuliko waliobeba treble
Shida mnaishi kwa kukariri, niliwahi kukuambia Tulipeleka had €95m kwa Yule flop mudrky ,Tulipeleka had £75m kwa Caicedo wakasema NOT FOR SALE,. ile ilionesha tumeshaingia anga zingine.ila mashabiki wa Arsenyo kwa vichambo
Ni mnachamba kama mademu wa kizaramu aiseeee.
Ujue mpaka sasa hivi siamini kama kweli Kroenke's wamekubali kutoa £105m kwa mchezaji mmoja.
Inawezekana Arsenyo imenunuliwa na Mwarabu kimyakimya halafu nyinyi hata hamjui.
Yule vinicius jr simuoni au yule si winger?Arsenal starboy Bukayo Saka has been ranked as the best winger in the world in ESPN’s #FC100 for 2023, while club team-mate Gabriel Martinelli has been ranked at #5.
[@ESPNFC] #afcView attachment 2679076
Hii Ni 2022/23 tuYule vinicius jr simuoni au yule si winger?
Alipaswa awepo kwenye hiyo list, kwa namna yoyote ile.. hadi grealish yupo namba 3 halafu vinicius hayupo🤣Hii Ni 2022/23 tu
Aiseeee mna kitu ila hamtofika mbali.Shida mnaishi kwa kukariri, niliwahi kukuambia Tulipeleka had €95m kwa Yule flop mudrky ,Tulipeleka had £75m kwa Caicedo wakasema NOT FOR SALE,. ile ilionesha tumeshaingia anga zingine.
Kroenke sio bahiri ila kabla ya 2018 alikuwa anaimiliki Arsenal kwa asilimia chache ,walikuwa wamiliki wengi hivo hakuona umuhimu wakutoa pesa
Kuanzia 2018 aliinunua kwa 100% kuanzia hapo akasema timu i
Hapo ndio hua inafanya tuzidharau hizi takwimu zinazo wabeba Arsenyau.Yule vinicius jr simuoni au yule si winger?
Anastahili kwakweliAlipaswa awepo kwenye hiyo list, kwa namna yoyote ile.. hadi grealish yupo namba 3 halafu vinicius hayupo
How abt manjesta's winger ? especially €100m Brazilian MorrisonHapo ndio hua inafanya tuzidharau hizi takwimu zinazo wabeba Arsenyau.
Yaani kwenye hio list bila ya uwepo wa Vini Jr nafasi ya kwanza kabisa hapo juu basi moja kwa moja ni batili.
Ila nafurahi Mnamtimu Degea ,halafu mnaleta mapazia haya na mabeki wenu kina varane , Safari hii naziona 5-0 mkichezeaAiseeee mna kitu ila hamtofika mbali.
Asenyo ni ileile tu juzi jana leo.
Wanaume tunasajili Mlima halafu nyinyi mnaenda kununua ubwabwa na Chai Havertz.
Tukutane August tuwaonyeshe kupanda mlima sio kazi ya kitoto.