Nisamehe Sana mkuu ,pale first eleven hakuna wakumtoa GM6 , hiko kikos nimekichukua tu ,but siwez kupanga nimuache GM6 ,GM6 mnamkosea heshima sana
Rice na TimberDeal gani hizo Mkuu za kumaluza faster faster ,
Naona Tieney akibaki Arsenal, Timber akiwa uwanjani sioni sababu ya Zinny kua uwanjani pia, itabidi Tierney aoparate upande wote wa kushoto na sio kumpa KT majukumu ya Inverted LB kama ya ZinnyTelegraph Sport understands that Mikel Arteta and sporting director Edu believe Timber is capable of playing as an inverted right-back, tucking into midfield when Arsenal have possession.
(@SamJDean )
Kuna mechi unacheza na timu mindset zao Ni kuzuia na kukaa nyuma kusubiri Counter attack kama manjesta ,unaenda na 2-3-5Naona Tieney akibaki Arsenal, Timber akiwa uwanjani sioni sababu ya Zinny kua uwanjani pia, itabidi Tierney aoparate upande wote wa kushoto na sio kumpa KT majukumu ya Inverted LB kama ya Zinny
Arsenal value Balogun at 50m pounds. It is thought player wants a permanent depature from Arsenal
(@skysports_sheth via @TheAFCnewsroom )
Huyo dogo alipewaga nafasi akazingua , Nketiah alikuwa injury , Auba na laca wakawa na Corona ,akapewa nafasi mech na Brentford alionekana ana Safari ndefu Sana kucheza EPL ,toka hapo Arteta hakuwahi kumuamini Tena , Kuna mtu alitaka had tubet nikamwambia Arteta atamuuza tu hawez kumpa nafasi Tena ukizingatia EPL Sasa ina ushindani , Ligue 1 sio kipimo kizuri ,lacazette kule alikuwa anafukuzana na mbappe na Messi ,Kwanini asiondoke Nketiah then abaki balogun? Maana Nketiah alivoenda championship still akufanya chochote lakini huyu dogo kaenda ligue 1 na kakiwasha kwelikweli
Huyo dogo alipewaga nafasi akazingua , Nketiah alikuwa injury , Auba na laca wakawa na Corona ,akapewa nafasi mech na Brentford alionekana ana Safari ndefu Sana kucheza EPL ,toka hapo Arteta hakuwahi kumuamini Tena , Kuna mtu alitaka had tubet nikamwambia Arteta atamuuza tu hawez kumpa nafasi Tena ukizingatia EPL Sasa ina ushindani , Ligue 1 sio kipimo kizuri ,lacazette kule alikuwa anafukuzana na mbappe na Messi ,
Nasikia wanamuuza maana kwanza anataka ahakikishiwe namba mbele ya Jesus ,Nketiah , Trossard na Kai ,wote hao wanacheza false 9 ,
Kuna tetesi wataweka kipengere Cha kumnunua Tena wakimtaka
Ngoja tumuone pre seasonNadhani dogo hajapewa chance kama aliyopewa nkentiah. Mwaka huu kakiwasha kweliii ligue1 aanze kupimwa kuanzia sasa maana ndo kwanza yupo 21 years si sawa na Nketiah toka kipindi cha wenger , unai mpaka arteta still yuko vilevile. Ligue1 sawa sio kipimo kizuriii lakini naamini Nketiah asingefikisha goals kama za balogun .
Hapo kwenye addons kuna tofautiHuu mtego
City kaweka package ile ile iliyokataliwa £90m
Ndo kitu Westham alichokuwa anakitakaHili dili lishaingia wanga sasa...