We jamaa ni mwehu, its only Arsenal kwa sababu ni Arsenal tu ndie anaemtaka, sasa ukiwadanganya kondoo wenzio kuwa mchezaji anataka only Arsenal, halafu mwisho wa siku mchezaji anaenda timu nyingine. Unarud kutudanganya kuwa ni siasa zilitumika. Humu tunaingia watu tofauti tofauti na wenye uelewa,usifikiri ni huko vijiweni kwenu.
Wewe huku pia tunakuona chizi, unaona ulivyokua mwehu sasa ukiniignor unafikiri nitakufa au acha kuwa na mawazo mgando.
We kuna vitu unavichanganya, Timber sawa alitakwa na Liva, bayern na nyumbu ila Arsenal ndio wako serious zaid na hilo dili, ndio mana its only Arsenal, ila sio kwamba eti mchezaji anaitaka tu Arsenal, we jamaa uachage kuwafunga kamba wenye uelewa finyu humu.
Zaha yupo free ,naona hayupo kabisa kwenye mipango yetu Wala hakuna tetes za kumuhitaji
Winger nasikia tutaongeza mmoja upande wa Saka ila baada ya target muhimu kumalizika
Upande wa kushoto Kuna wingers Kama 4
Martinel
Trossard
Nelson
Smith Rowe
Kulia yupo Saka pekee
Japo kwakuibia Nelson anacheza hata Kai niliona Chelsea wakimtumia Mara kadhaa
Hata mm namkubali Sana Olise , Kuna Kipind Vieira aikuwa anamtumia yeye na Eze Kama double 8, alikuwa anafanya vzr tu,Zaha kwangu no, Napenda sanaa Olise, ingawaje ni RW
Zaha kwangu no, Napenda sanaa Olise, ingawaje ni RW
Mtu kama Olise anafaa kuwa Arsenal playerZaha kwangu no, Napenda sanaa Olise, ingawaje ni RW
Hatakiwi kuzidharau Liverpool Manchester United Chelsea Tottenham ni PEP pekee mwenye jeuri hiyo Arteta ndio kwanza anajitafuta licha last season Arsenal imeonyesha uwezo but tusubiri next season aonyeshe tena maajabu isije ikawa one season wonder!maana Arsenal yenyewe haitabiriki sio ya kuiamini sana kwa sasa but let's wait and seeNimesoma transcript ya interview ya Mikel na Marca arseblog. Nimeona kuwa yeye anamchukulia pep na City kuwa mpinzani wake pekee. Wengine wote watoto wa mama tu. Naona huu ni mwanzo nzuri
Sio kwa ubaya ila timu yenu ina wazee wengi Sana ,baada ya Mac Allister , mnahangaika na vitoto kina manu kone , Thuram , Ni ngumu kwa stail hiyo kupambana na PepNyie wapumbavu 2023 /24 mtakua wa 9
Mmeshindwa chukua msimu huu msahau tena hadi 2050
Klopp anabeba
Kwasasa ndiye mpinzani mkubwa Hilo halina ubishi , Chelsea ndio anaunda timu mpya , manjesta haijulikan watasajili lini na timu itauzwa lini , Liverpool wanasubiri miujiza ya Klopp ,kikos Chao kimejaa wazeeNimesoma transcript ya interview ya Mikel na Marca arseblog. Nimeona kuwa yeye anamchukulia pep na City kuwa mpinzani wake pekee. Wengine wote watoto wa mama tu. Naona huu ni mwanzo nzuri