Wewe Ni chizi hata wenzio kule jukwaa la Chelsea wanakuchukuliaga chizi ,
Timber alikuwa anatakiwa na Bayern , manjesta na Liverpool
Na Plettigoal Ni muandishi wa. Habari za Bayern Munich anafanya kazi Sky sport German ,ndiye alianza kuripoti , Timber hataki kwenda Bayern na sababu aliziweka
Timber alialikwa na Ten hag mech ya FA cup juz hapa
Ndio maana wanakuchukulia chizi , Wanaosema ameamua kwenda Arsenal sio Mimi ,unakuja unaniparamia Mimi
Nakupiga ignore
Ukimpiga Ignore mtu either hujiamini or hauna facts tena napenda sana mtu anayenicriticise kuliko anayenisifia mara kwa mara TAKE NOTE [emoji404]Wewe Ni chizi hata wenzio kule jukwaa la Chelsea wanakuchukuliaga chizi ,
Timber alikuwa anatakiwa na Bayern , manjesta na Liverpool
Na Plettigoal Ni muandishi wa. Habari za Bayern Munich anafanya kazi Sky sport German ,ndiye alianza kuripoti , Timber hataki kwenda Bayern na sababu aliziweka
Timber alialikwa na Ten hag mech ya FA cup juz hapa
Ndio maana wanakuchukulia chizi , Wanaosema ameamua kwenda Arsenal sio Mimi ,unakuja unaniparamia Mimi
Nakupiga ignore
Sipend matusi siku zote ,Huyo Hana fact hata wenzie wanamjua ,Sasa wengine hatujazoea matusiUkimpiga Ignore mtu either hujiamini or hauna facts tena napenda sana mtu anayenicriticise kuliko anayenisifia mara kwa mara TAKE NOTE [emoji404]
Wewe huku pia tunakuona chizi, unaona ulivyokua mwehu sasa ukiniignor unafikiri nitakufa au acha kuwa na mawazo mgando.Wewe Ni chizi hata wenzio kule jukwaa la Chelsea wanakuchukuliaga chizi ,
Timber alikuwa anatakiwa na Bayern , manjesta na Liverpool
Na Plettigoal Ni muandishi wa. Habari za Bayern Munich anafanya kazi Sky sport German ,ndiye alianza kuripoti , Timber hataki kwenda Bayern na sababu aliziweka
Timber alialikwa na Ten hag mech ya FA cup juz hapa
Ndio maana wanakuchukulia chizi , Wanaosema ameamua kwenda Arsenal sio Mimi ,unakuja unaniparamia Mimi
Nakupiga ignore
Sawa ngoja nikuchukulie kama wanavyokuchukulia wenzio kule jukwaa la ChelseaWewe huku pia tunakuona chizi, unaona ulivyokua mwehu sasa ukiniignor unafikiri nitakufa au acha kuwa na mawazo mgando.
We kuna vitu unavichanganya, Timber sawa alitakwa na Liva, bayern na nyumbu ila Arsenal ndio wako serious zaid na hilo dili, ndio mana its only Arsenal, ila sio kwamba eti mchezaji anaitaka tu Arsenal, we jamaa uachage kuwafunga kamba wenye uelewa finyu humu.
Kama wewe ni mtu mzima ndio utukane watu!... Ukijipima unaona kabisa na wewe una akili? Kama kweli wewe ni mtu mzima na kutwa nzima unatukana watu, basi utakuwa ni mtu mzima wa hovyo sana!..... Mpira ni furaha!.. sio Kwa kuwa wewe una stress zako huko, ndio uzimalizie hapa Kwa kutumia lugha za hovyo!Umesema tunachukia mafanikio ya Arsenal haya nitajie basi hayo mafanikio ya Arsenal since 2005 ni yapi?tuone mimi na wewe nani ana akili ndogo taja na mimi ntayataja ,kuwa fan wa Arsenal sometimes tusijitoe akili kwenye ukweli tutasema na kwenye uongo tutakanusha COYG!
And let me remind you watoto waliozaliwa 2005 wapo Form 4 and 5 this year!
Sawa mkuu ,Hamisi relax mkuu, ushabiki wa mpira una mambo mengi. Mashabiki wengine ushabiki unanoga pale wanapomshambulia shabiki wa timu ingine. Wengine ushabiki unanoga pale wanapomkosoa kocha wa timu ingine...muhimu wewe nenda nao tu hivyo hivyo.
Wapi umetukanwa? Kuitwa kondoo ndio umetukanwa? Usichukulie mambo y mpira serious hivyo utakufa na msongo.Kama wewe ni mtu mzima ndio utukane watu!... Ukijipima unaona kabisa na wewe una akili? Kama kweli wewe ni mtu mzima na kutwa nzima unatukana watu, basi utakuwa ni mtu mzima wa hovyo sana!..... Mpira ni furaha!.. sio Kwa kuwa wewe una stress zako huko, ndio uzimalizie hapa Kwa kutumia lugha za hovyo!
Tatizo wewe jamaa mdomo mchafuWapi umetukanwa? Kuitwa kondoo ndio umetukanwa? Usichukulie mambo y mpira serious hivyo utakufa na msongo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizi Kima humu zenyewe zinawaita wenzao Kenge, Nyumbu fresh tu, ila zenyewe zikitaniwa kwa majina ya kawaida tu kama vile kuitwa Kondoo au Misukule ya Arteta zinakuja juu na kudai kua eti zimetukanwa na kutishia ku Ignore watu.Wapi umetukanwa? Kuitwa kondoo ndio umetukanwa? Usichukulie mambo y mpira serious hivyo utakufa na msongo.
Nionyeshe comment yake yoyote aliyotukana humu nimlime Ban ya mwezi mmoja.Tatizo wewe jamaa mdomo mchafu
Mimi nawatania Sana manjesta kule jukwaani kwao lakini siwezi kuwatukana au kutoa Lugha chafu naona sio mpira
Endelea kutupa updates Mkuu tunakusoma[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sipend matusi siku zote ,Huyo Hana fact hata wenzie wanamjua ,Sasa wengine hatujazoea matusi
Anasema Timber alitakiwa na Arsenal pekee ,Sasa utabishana Nini na Huyo zaid ya matusi?
Wengine kutoa tusi hatuwezi kabisa
Unakimbia kimbia tu swali hujajibu wewe mwenye akili jibu swali banaKama wewe ni mtu mzima ndio utukane watu!... Ukijipima unaona kabisa na wewe una akili? Kama kweli wewe ni mtu mzima na kutwa nzima unatukana watu, basi utakuwa ni mtu mzima wa hovyo sana!..... Mpira ni furaha!.. sio Kwa kuwa wewe una stress zako huko, ndio uzimalizie hapa Kwa kutumia lugha za hovyo!
Zaha yupo free ,naona hayupo kabisa kwenye mipango yetu Wala hakuna tetes za kumuhitajihamis77 je tumeachana na Zaha mazima? Je ni Mzee sana hafundishiki? Hatuwezi kumpa mkataba wa miaka 2? Naona ukiwa unaweza kumtoa Martinelli ukaingiza Zaha na ukiwakosa una Trossard na ESR unakuwa na hatari upande wa kushoto. Pia anaweza kucover upande wa Saka Kwa usumbufu ule ule . Naona shida kubwa ni end product...yaani magoli na assists