Wewe jamaa nimeamini Ni nyumbu uliyetukuka,[emoji23][emoji23][emoji23] kina Fabrizio Romano ndio wanasemaga
"Player only wants Arsenal"?
[emoji23][emoji23][emoji23] Maendeleo anayomaanisha jamaa ni vikombe vya mwanaFA na kuongoza ligi kwa siku 258 mkibakiza mechi 8 na points8 juu dhidi ya timu iliyokua nyuma yenu.Sijawahi kuona taahira like you yaani deal la Rice libume Arsenal fans tufurahi?who is Rice by the way?yaani umeona Rice kwako ni bonge la player?ndio maana tunadharaulika kwa comments kama hizi then Arsenal ana maendeleo gani jamani for 18 years ago hata EPL hatujabeba na bado tupo Arsenal fans jamani?unasema hatutaki maendeleo ya Arsenal?niambie Arsenal ina maendeleo gani kwa zaidi ya miaka 18 sasa ?tukisema ukweli mnachukia sisi ni fans wa Arsenal but kusema hatutaki maendeleo ya Arsenal ni kichekesho kikubwa maendeleo gani sasa ?miaka 20 hatuna EPL hatuna champions league hatuna World club cup hatuna super cup hatuna Europa cup hyo yote ni zaidi ya more 20 years sasa maendeleo gani hatuyapendi?tukisema ukweli mara unaitwa nyumbu mara ID 2 bro relax tumeipenda team but ukiongelea maendeleo utatukanwa tu
Watu wenye akili ndogo silaha yao kubwa ni matusi!... Anyway.... Ahsante!... Domo lako linatema matusi kama maviSijawahi kuona taahira like you yaani deal la Rice libume Arsenal fans tufurahi?who is Rice by the way?yaani umeona Rice kwako ni bonge la player?ndio maana tunadharaulika kwa comments kama hizi then Arsenal ana maendeleo gani jamani for 18 years ago hata EPL hatujabeba na bado tupo Arsenal fans jamani?unasema hatutaki maendeleo ya Arsenal?niambie Arsenal ina maendeleo gani kwa zaidi ya miaka 18 sasa ?tukisema ukweli mnachukia sisi ni fans wa Arsenal but kusema hatutaki maendeleo ya Arsenal ni kichekesho kikubwa maendeleo gani sasa ?miaka 20 hatuna EPL hatuna champions league hatuna World club cup hatuna super cup hatuna Europa cup hyo yote ni zaidi ya more 20 years sasa maendeleo gani hatuyapendi?tukisema ukweli mara unaitwa nyumbu mara ID 2 bro relax tumeipenda team but ukiongelea maendeleo utatukanwa tu
Hawa wehu mnawapa airtime mnavyowajibuWatu wenye akili ndogo silaha yao kubwa ni matusi!... Anyway.... Ahsante!... Domo lako linatema matusi kama mavi
Hizo Assumption ndio nilizisema JanaKama shabiki wa mpira (ukiacha ushabiki wa Arsenal) sielewi Man City wanamaanisha nini wanaposema wanaacha kubid mpaka Rice aseme anawataka. Kwani wao si wanatakiwa watume mjumbe Kwa wawakilishi wa Rice na kuwashawishi wamshawishi Rice ajiunge na project yao? Nahisi Kuna kamchezo tu hapa.
Huenda City hawana mpango na Rice au wanampango naye na wanafanya Kila juhudi wampate.
West Ham wanachonganisha Ili wapate dau kubwa ingawa Mimi Bado naona hawastahili hicho wanachoomba. Ila soko la mpira siku hizi liko hovyo. Kuna mtu analipa 1m anapata Martinelli na anafanya vizuri msimu wake wa kwanza kuliko Antony alivyofanya msimu wake wa kwanza Kwa 100m
We jamaa ni mwehu, its only Arsenal kwa sababu ni Arsenal tu ndie anaemtaka, sasa ukiwadanganya kondoo wenzio kuwa mchezaji anataka only Arsenal, halafu mwisho wa siku mchezaji anaenda timu nyingine. Unarud kutudanganya kuwa ni siasa zilitumika. Humu tunaingia watu tofauti tofauti na wenye uelewa,usifikiri ni huko vijiweni kwenu.Wewe jamaa nimeamini Ni nyumbu uliyetukuka,
Haya chukua hii ,
Fabrizio Romano
…it’s only Arsenal for Jurrien Timber at this stage. Waiting for second proposal to be submitted soon. [emoji836]️[emoji837] #AFC
Personal terms agreed two days ago [emoji3593]
Wewe Ni chizi hata wenzio kule jukwaa la Chelsea wanakuchukuliaga chizi ,We jamaa ni mwehu, its only Arsenal kwa sababu ni Arsenal tu ndie anaemtaka, sasa ukiwadanganya kondoo wenzio kuwa mchezaji anataka only Arsenal, halafu mwisho wa siku mchezaji anaenda timu nyingine. Unarud kutudanganya kuwa ni siasa zilitumika. Humu tunaingia watu tofauti tofauti na wenye uelewa,usifikiri ni huko vijiweni kwenu.
Umesema tunachukia mafanikio ya Arsenal haya nitajie basi hayo mafanikio ya Arsenal since 2005 ni yapi?tuone mimi na wewe nani ana akili ndogo taja na mimi ntayataja ,kuwa fan wa Arsenal sometimes tusijitoe akili kwenye ukweli tutasema na kwenye uongo tutakanusha COYG!Watu wenye akili ndogo silaha yao kubwa ni matusi!... Anyway.... Ahsante!... Domo lako linatema matusi kama mavi
Screenshot habar iliyema player says only wants Arsenal,kutoka kwa reliable source yoyote. utuwekee hapa. Acheni kuwa makondoo. Hii ni forum ya magreat thinkers.Rudi kwenye jukwaa Lenu kule mkaendelee kuwalalamikia Glazer...hyo Hamis hatungi hzo habari tunaziona huko mitandaoni...yy ana copy na ku paste tu hmu...Sasa shida Iko wpi....kutwa kuongea pumba ilimradi muonekane mnajua k
Kwni Romano peke yke ndo anatoa taarifa za usajili...watoa taarifa si wko wengi...kinacholetwa hmu ni taarifa zte za wale journalist reliable na ambao sio reliable...shida Iko wpi
changia sana vijana