Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I think umekurupuka kujaribu kumsaidia mwenzio but hukuelewa where my point is so nenda kasome tena nilichokisema then uje uone wapi na nini nilichokuwa namaanisha Thanks
kwa kuchangia
 
I think umekurupuka kujaribu kumsaidia mwenzio but hukuelewa where my point is so nenda kasome tena nilichokisema then uje uone wapi na nini nilichokuwa namaanisha Thanks
kwa kuchangia
Unachofanya mda mrefu ni kumu attack as if hzo taarifa anatunga yy wkti ni mambo ya Media ndo analeta taarifa zake hmu...ww ndo unakurupuka...kuattack mtu na sio kichangia mawazo yako
 
Nashangaa wanaolalama ,vitu hiv kwenye usajili Ni vyakawaida Sana

Di marzio aliposema City wamemalizana na Westham ,tulikebehiwa na kutukanwa hapa juzi .

Ikionekana anakuja tunaambiwa mbovu

Akienda city tunaambiwa maneno ya kebehi
Msimu huu wa tetesi ungekua una maana sana kama tungekua tunajadili endapo tukiona tuna asilimia 80 za kumsajili mchezaji basi tu-share mawazo jinsi gani Arteta atamtumia Harvert, jinsi gan Timber atafiti kwenye mfumo na game tight kwenye timu zinazo press ni vyema kuanza na White au Timber kwenye mbavu ya kulia na Rice anakuja kucheza kama 6 au 8s maana ndo sajili zilizo gumzo kwenye timu yetu
 
Acha kutudanganya wewe, kwamba mudryk angekataa kwenda Chelsea kingetokea nini?
Eti siasa! siasa gani?
 
️ | TRANSFERS:

Timber only wants Arsenal, move very close.

: German journalist Florian Plettenberg has announced that Arsenal are on the verge of sealing a deal for Ajax defender Jurrien Timber.

@Plettigoal: “Jurrien #Timber, on verge to join Arsenal! Bayern is not involved at this stage. The player wants to join Arsenal. Verbal agreement is done.”

“All depends on the the second official offer now. Agreement expected between €40-45m transfer fee + bonus payments. Would be a good deal for all parties.”

We have heard the deal will be £38m + £5m in add-ons. Arteta wants him to be his right sided Zinchenko. Can operate in CB, RB and CDM.
#AFC #Transfers #Timber #Ajax
 
Unachofanya mda mrefu ni kumu attack as if hzo taarifa anatunga yy wkti ni mambo ya Media ndo analeta taarifa zake hmu...ww ndo unakurupuka...kuattack mtu na sio kichangia mawazo yako
Yaani tetesi za usajili wanatoa akina Fabrizio Romano, ila jamaa wanamchamba Hamisi77. Unajua brother Hawa ni Mashabiki wa nyumbu na akili zao zimeishia hapo.... Yaani magazeti ya michezo ya huko majuu yanatengeneza Tetesi nyingiiii kuhusu Arsenal Kwa kuwa Arsenal Ina Mashabiki wengi huko ulaya.... Sasa jamaa anacopy na kuleta habari hapa kama zilivyo, eti jamaa wanakereka na kuanza kutoa kejeli!.. wewe unaona Wana akili timamu! hao!.. hata kama mtu una chuki au hupendi kitu ni vizuri kuficha ujinga wako!.. brother Huyo jamaa asikupotezee muda ni kijana mdogo shabiki wa nyumbu asiye na uelewa wowote!... Nakuhakikishia deal la Rice likibuma atakuja Kwa furaha humu maana hapendi MAENDELEO ya Arsenal....
 
Acha kutudanganya wewe, kwamba mudryk angekataa kwenda Chelsea kingetokea nini?
Eti siasa! siasa gani?
Wahuni tu hawa wanaoingiza habari za siasa.
Kipengele kichowafanya Arsenyau kumkosa Mudrky ni pesa tu.
Wao walikua wanataka kulipa kwa mafungu mafungu, halafu kingine ilikua ni masharti yao ya kipuuzi katika kulipa add-ons, Arsenyau sharti lao eti watalipa hio add-ons endapo Mudryk akifanikiwa kupata tuzo ya Ballon D'or

Shakhtar wakaona hizi kima hazipo serious fasta wakaamua kufanya biashara na tajiri miluzi.
Uzikute sasa hizi Kondoo zilivyo makini kusikiliza zikiwa zinadanganywa na hamis77 yaani mpaka mtu unajiuliza hizi ni kondoo kweli au ni misukule



Poor Asenyo
 
kina Fabrizio Romano ndio wanasemaga
"Player only wants Arsenal"?
 
Rudi kwenye jukwaa Lenu kule mkaendelee kuwalalamikia Glazer...hyo Hamis hatungi hzo habari tunaziona huko mitandaoni...yy ana copy na ku paste tu hmu...Sasa shida Iko wpi....kutwa kuongea pumba ilimradi muonekane mnajua kuchangia sana vijana
 
Rudi kwenye jukwaa Lenu kule mkaendelee kuwalalamikia Glazer...hyo Hamis hatungi hzo habari tunaziona huko mitandaoni...yy ana copy na ku paste tu hmu...Sasa shida Iko wpi....kutwa kuongea pumba ilimradi muonekane mnajua k
kina Fabrizio Romano ndio wanasemaga
"Player only wants Arsenal"?
Kwni Romano peke yke ndo anatoa taarifa za usajili...watoa taarifa si wko wengi...kinacholetwa hmu ni taarifa zte za wale journalist reliable na ambao sio reliable...shida Iko wpi
changia sana vijana
 
Rudi kwenye jukwaa Lenu kule mkaendelee kuwalalamikia Glazer...hyo Hamis hatungi hzo habari tunaziona huko mitandaoni...yy ana copy na ku paste tu hmu...Sasa shida Iko wpi....kutwa kuongea pumba ilimradi muonekane mnajua kuchangia sana vijana
punguza makasiriko brother
Huyo Mwamposa wako kila siku tuko nae huko Unyumbuni anakuja kuchangamsha mbuga.
Tuacheni na sisi tulichangamshe hili zizi la Kondoo.
 
Kabisa mkuu
 
Sijawahi kuona taahira like you yaani deal la Rice libume Arsenal fans tufurahi?who is Rice by the way?yaani umeona Rice kwako ni bonge la player?ndio maana tunadharaulika kwa comments kama hizi then Arsenal ana maendeleo gani jamani for 18 years ago hata EPL hatujabeba na bado tupo Arsenal fans jamani?unasema hatutaki maendeleo ya Arsenal?niambie Arsenal ina maendeleo gani kwa zaidi ya miaka 18 sasa ?tukisema ukweli mnachukia sisi ni fans wa Arsenal but kusema hatutaki maendeleo ya Arsenal ni kichekesho kikubwa maendeleo gani sasa ?miaka 20 hatuna EPL hatuna champions league hatuna World club cup hatuna super cup hatuna Europa cup hyo yote ni zaidi ya more 20 years sasa maendeleo gani hatuyapendi?tukisema ukweli mara unaitwa nyumbu mara ID 2 bro relax tumeipenda team but ukiongelea maendeleo utatukanwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…