Rice akitumika mbele ni mbovu ila akitumika kama CDM hapo Arsenal wamempata mchezajiArsenyani na kocha wenu hamjui mnataka nini. Huyu Rice mnayemlilia mtakuja kumkataa: siyo kuwa ana uwezo mdogo ila ni namna kocha wenu anavyotaka kumtumia.
Mpaka sasa mshajiingiza mkenge kwa kumsajili Havertz.
Naitunza hii kaka, wait and seeMeza gani wanayoweza kupindua hawa Arsenal labda meza ya wanywa Gongo, Arsenal ni Losers.
Loser Fansbase.
Loser club.
Tatizo ni watu watakaocheza mbele yake hawana uwezo kwenye ball retention & defending. Bora Ode ila Kai ni mvivu.Rice akitumika mbele ni mbovu ila akitumika kama CDM hapo Arsenal wamempata mchezaji
Rice mi namwona ni mchezaji wa kawaida sana. Yaan mpk sasa najiuliza ni kwa nini Arteta anamng'ang'ania.Mbona kuna watu kama wameanza kuchukulia kama suala la Arsenal kumkosa Rice nalo ni la kuwazomea?
Personally naona Arsenal wasimsajili RICE, hizi kelele na fee anayowekewa vitamfanya awe another version of pepe...
Lavia awe priority kwakweli
DonHapo vipi manondoka na nani hapa.View attachment 2666150View attachment 2666151
Actually hatupigwi, maana hizo hela za wenye timu yao mimi huku nanjirinji sipaswi kuzionea ubahili..., Mimi naangalia performance ya mchezaji baadaye...Rice mi namwona ni mchezaji wa kawaida sana. Yaan mpk sasa najiuliza ni kwa nini Arteta anamng'ang'ania.
Arse88 naona mnaenda kupgwa kama mlivyopgwa kwa Kai. Ombeni mungu City awaokoe kw kumchukua.
Kocha wangu anapush cuz anajua Rice akienda City and the game is over kabla ya Msimu haujaisha. Guardiola ana push cuz anajua Arsenal ni strong challenger, tukimpata Rice anapunguza quality gap kati yetu na City.| @FabrizioRomano on Arsenal and Declan Rice:
“There is a crucial part of the story to mention. At the moment, the player has been very clear from what I understand. He wants to be open and to see what Arsenal and Manchester City will do in the next hours and days.
“We know one crucial point on this story. Mikel Arteta… Arteta is pushing at the best level to sign Rice and is trying in every single way. Of course, it doesn't depend on him. It depends on the owners and how much they want to spend on the deal.
“But Arteta is trying his best. He's really pushing for Rice to join Arsenal. So Arteta could be crucial. If Rice will be an Arsenal player, trust me, Arteta will be a crucial factor.
“But Manchester City are in it and are in the race. Let's wait and see what happens in terms of bid. But at the moment, in terms of contact. Arsenal’s intention is to bid again, and they remain in the race. So both clubs are still there. Nothing is decided yet.” [via YouTube] #afc
Shida yenu kubwa ni mabeki, kama Saliba asingeumia, mngebeba kombe. Imarisheni mabeki muwwe na deep Defense. Rice hatasaidia kitu kama idara zote tatu za uwanjani ni slim. Mabeki, Viungo na Washambuliaji. Timber ni CB mzuri I asumeKocha wangu anapush cuz anajua Rice akienda City and the game is over kabla ya Msimu haujaisha. Guardiola ana push cuz anajua Arsenal ni strong challenger, tukimpata Rice anapunguza quality gap kati yetu na City.
Ndo hivyo tena Arteta anamuuza Kieran Tierney, ila ana roho ngumu sana.Shida yenu kubwa ni mabeki, kama Saliba asingeumia, mngebeba kombe. Imarisheni mabeki muwwe na deep Defense. Rice hatasaidia kitu kama idara zote tatu za uwanjani ni slim. Mabeki, Viungo na Washambuliaji. Timber ni CB mzuri I asume
Mtaalam Lembu tunakusikiliza na asante kwa kufuatilia mpira na sio team. ::::Shida yenu kubwa ni mabeki, kama Saliba asingeumia, mngebeba kombe. Imarisheni mabeki muwwe na deep Defense. Rice hatasaidia kitu kama idara zote tatu za uwanjani ni slim. Mabeki, Viungo na Washambuliaji. Timber ni CB mzuri I asume
Anakuja Timber ,Arteta kaidhinisha tayariShida yenu kubwa ni mabeki, kama Saliba asingeumia, mngebeba kombe. Imarisheni mabeki muwwe na deep Defense. Rice hatasaidia kitu kama idara zote tatu za uwanjani ni slim. Mabeki, Viungo na Washambuliaji. Timber ni CB mzuri I asume
Yan jana usiku nikakua Rice deal lishakamilika kwenda City kumbe ishu bado mbichi kabisaCity Hadi Sasa hajatuma hiyo ofa
Media zime drive Sana Jana
Hasa Di marzio , media za UK zikamkana ,
Anasema Rice anakaribia mancity ,
Bila ku submit bid ,bila kumalizana personal term
Kaka hv siti inaweza kushindwa katika kusajili mchezaji ambae nao wanamtaka kweli kweli?City Hadi Sasa hajatuma hiyo ofa
Media zime drive Sana Jana
Hasa Di marzio , media za UK zikamkana ,
Anasema Rice anakaribia mancity ,
Bila ku submit bid ,bila kumalizana personal term
Shida kubwa ni #6 na ndio maana links zinaonesha tupo tayari kuweka million 150 (Rice + Lavia) hilo eneo.Shida yenu kubwa ni mabeki, kama Saliba asingeumia, mngebeba kombe. Imarisheni mabeki muwwe na deep Defense. Rice hatasaidia kitu kama idara zote tatu za uwanjani ni slim. Mabeki, Viungo na Washambuliaji. Timber ni CB mzuri I asume
Hadi muda huu city hajaweka dau lolote mezaniYan jana usiku nikakua Rice deal lishakamilika kwenda City kumbe ishu bado mbichi kabisa