Kwan Liverpool mmefungiwa kusajili? Baada ya macAllister mmepotea
Nyie si mmemfatilia Jude mwaka mzima
Kwahiyo anakuja kwenu kucheza Europa?Meza gani wanayoweza kupindua hawa Arsenal labda meza ya wanywa Gongo, Arsenal ni Losers.
Loser Fansbase.
Loser club.
Mmefungiwa kusajili?
Di marzio ndiye kasema hivo,lakin Media zote za UK zimesema sio kweliArsenal set to miss out on Declan Rice as reliable journalist says Man City agreement close
Media politics ili wauze habari
Kawaida lolote kutokea kwenye TransferNyie hamjifunzi kwa Mudryk bado eh!
Hapa unataka kufanya watu waone arsenal ipo strategic kumbe hamna lolote, kwamba timu zote zinaangalia arsenal anamtaka nan then ndio zifanye usajili, kwa kipi arsenal alichonacho mpaka uje na theory za kipumbavu!!
Mudryk it was the first target na si trossard na ilimkosa kwasababu ya ubahili na hata rice it will be the same.
Tukisema mashabiki wa arsenal ni vichaa na mna false hope mnaona kama tunawakosea , hii theory yako ni ujinga tu na matumaini hewa
Sisi kama arsenyau hatumtaki rice tunamtaka lavia.Mbona kuna watu kama wameanza kuchukulia kama suala la Arsenal kumkosa Rice nalo ni la kuwazomea?
Personally naona Arsenal wasimsajili RICE, hizi kelele na fee anayowekewa vitamfanya awe another version of pepe...
Lavia awe priority kwakweli
Unaweza kuwa sawa kwa sababu hapo mlipofika, PEP hawezi kuingiaMbona kuna watu kama wameanza kuchukulia kama suala la Arsenal kumkosa Rice nalo ni la kuwazomea?
Personally naona Arsenal wasimsajili RICE, hizi kelele na fee anayowekewa vitamfanya awe another version of pepe...
Lavia awe priority kwakweli