computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Kazi ipo Mkuutulisema humu tukaonekana mamluki ona sasa kazi imekuwa ngumu mara mbili
SIo hisa, taarifa zinadai majority owner kwa 100%
Lini sasa mkuu??Declan Rice keen to join Arsenal despite Manchester City’s plan for a rival bid.
(@JacobSteinberg)
| West Ham believe an offer from Man City for Declan Rice is imminent, and it remains to be seen whether City’s anticipated offer meets the Hammers criteria.
Arsenal, as it stands, remain ahead in the race to land Rice, and Mail Sport understands that Mikel Arteta believes the 24-year-old will one day become captain of Arsenal if he signs.
[@SamiMokbel81_DM, @MailSport] #afc
Ngoja tuone mkuu , Arteta amemkomalia Rice Sana ,hata Mimi sikuwa namkubali RiceMwambie Arteta aachane na Rice . 100m, mchezaji kabakiza mwaka mmoja na tuna jorginho na Partey au lavia akija. Tuongeze beki wa kushoto kama timber anakuja Kwa kulia, ongeza mshambuliaji wa upande wa kulia kumpa saka pumziko mara zingine. Funga usajili
Inabidi Basi Kuuzwa kwa Partey wasitishe'unrealistic add-ons' Mimi naona zinaendana na unrealistic price yao. Tuwaachie tu mchezaji wao. Kama Arteta akiongeza bidii na kuwa serious zaidi na kazi yake ya coaching na managing, akaimprove morale ya wachezaji, aimprove game management na azidishe magoli na kuuwa timu tunazozipiga mapema. Tuache mambo ya kijinga ya kupiga timu 3-0 first half afu game inaisha 3-1. Ukimpiga mtu 3-0 first half sisi tunataka game isiishe chini ya mkono Kwa nunge
Lala kesho utakuta meza imepinduka hukuNingeshangaa Declan Rice aache kwenda kushinda Mataji ,Aache pesa Man city Aende timu ya ovyo kama Arsenal.
Inashangaza Sana mashabik wa manjesta badala muhangaike na timu yenu hata haisajili
Kwan Liverpool mmefungiwa kusajili? Baada ya macAllister mmepoteaNingeshangaa Declan Rice aache kwenda kushinda Mataji ,Aache pesa Man city Aende timu ya ovyo kama Arsenal.
Meza gani wanayoweza kupindua hawa Arsenal labda meza ya wanywa Gongo, Arsenal ni Losers.Lala kesho utakuta meza imepinduka huku
Kuna muda kama shabiki unapaniki kwamba kwanini arsenal wamechelewa kukamilisha hili dili mpaka city anaingia kwa miguu miwili.
Je hawakuona biashara ya gundogan kwamba itaharibu na kuingilia mtiririko wa dili la rice? Kweli?
Kwamba shabiki unaweza ona intervention ya city ila arteta na bodi nzima hawakuona.? Really?
Kwa akili ya kawaida hii kitu haipo.kwangu mimi inawezekana arsenal walikuwa wanamsubiri city aje kwenye hii dili.wakati hammers wakichelewesha deal kusubiri city aingie ili kuwe na bidding war arsenal nao walikuwa wanamsubiri man city.swali ni how and for what?
Ngoja nikwambie. Sajili tulizofeli ambazo sisi tunaziita zilikuwa ni A-list inawezekana kabisa ndo zilikuwa B-list au zilikuwa ni technical methodology za kupata preferred targets.
Dili la muddrick liliniachia funzo kubwa sana kuhusu namna arsenal anavyosajili. Mind you kwamba inawezekana hata hatujui clear targets za arsenal tofauti na hizi zinazozunguzwa na media.
Welcome mancity kwenye deal la rice kuna kitu tutaona au tutajifunza