Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabisa. Partey akiwa fit na kwenye form ni wachache wanamfikia pale England
Mkuu ukiwa unataka pambania makombe ya maana hautakiwi kua na mchezaj wa kutegemea nadharia "Kua akiwa fit neno akiwa linamaanisha ww una liabilities kwny team yan magari ya mkaa.

Toeni hela nunueni Wali mkicheza city tunamchukua mtabak na Maneno yenu ooh oil money sijui nn.. Mpr ni investment sio porojo za vijiweni.
 
Rice has two options, to choose Manchester City ambayo itampa Guarantee ya kubeba big trophies na pia kuwa under Genius coach ever but rotation lazima aikubali or kuchoose Arsenal ambayo ataplay full 90 minutes katika games zote but no Guarantee katika kubeba big trophies but advantage ni wote wanacheza champions league next season kazi kwake atachagua anataka
au kucheza
 
Simaanishi tutegemee yeye tu akiwa fit. Partey ni top quality na tunataka tuwe na top quality players zaidi ya mmoja Kila nafasi, kama City. Siyo unaleta na kuondoa.
 
Nyie manyumbu mna bahati sana tumekosa ubingwa. Msingeonakana humu kwenye jukwaa la title contenders wa ukweli
Nyie Taito Kunitenda ubingwa mtaishia kuuona tu kwa wenzenu, mwaka wa 20 huu mmekua ni wasindikizaji tu kwenye Epl, mwaka wa 8 mfululizo mnacheza Futuhi na kina Bambo halafu mkiambiwa ukweli Arsenyau ni Mid Table Team mnakasirika tena mnasusa mpaka kula.


#Arsenal Ndoo
#Haaland Kiatu
 
Kuna watu walikuwa wanabeza Arteta kumtaka Rice. Cha kushangaza baada ya kusikia Man city kaingilia Dili, wanafurahia kupata points za kuwakandia kina Edu. Na akisajiliwa utasikia Rice siyo sababu ya Arsenal kukosa kikombe
 
Huyo Chai Kiazi(Kai Harvez) muda sio mrefu mtaanza kumtukana humu kama mlivyokua mnamtukana Nketiah.
Arsenal ni ileile tu misimu yote kitu inayobadilikaga ni jezi tu.
 
Ujinga huo ati.
 
Man u walianza kununua wachezaji kwa bei mbaya. Wakaharibu dressing room na performance
Wakafuata Chelsea wakaharibu dressing tukahatibu performance na sasa tunajitahidi kufagia
Arsenal Next. Mnanunua wachezaji bei ghali na kuwapa mishahata mikubwa bila sababu kitakachofuata ni manung'uniko dressing room halafu kiharibu morale ya wengine na kushika kwa performance. Kwa mchezo gani Havertz anastahiki paundi 200k kwa wiki?
Tusubiri tuone, ya Mungu mengi
 
Kuna watu walikuwa wanabeza Arteta kumtaka Rice. Cha kushangaza baada ya kusikia Man city kaingilia Dili, wanafurahia kupata points za kuwakandia kina Edu. Na akisajiliwa utasikia Rice siyo sababu ya Arsenal kukosa kikombe
Chakushangaza mnamtosa Partey na kumbakiza Jorginho. Soŕy Rice ni mzuri ila bei ni kubwa. Atakuwa na mzigo wa deni kubwa mabegani mwake. Sio wote wenye price tag kubwa wanaweza kuhimili na kucheza vizuri. Wengi wanaflop
 
hamna kitu mzee tuna bagain sana mzee
 
Mabosi wa Chelsea wanajua biashara bana

Arsenal imemnunua Havertz kwa £65m, Chelsea ikanunua karibu asilimia 100 ya hisa huko Strasbourg inayoshiriki Ligue 1 kwa £65m. Hapo vipi?
 
Chakushangaza mnamtosa Partey na kumbakiza Jorginho. Soŕy Rice ni mzuri ila bei ni kubwa. Atakuwa na mzigo wa deni kubwa mabegani mwake. Sio wote wenye price tag kubwa wanaweza kuhimili na kucheza vizuri. Wengi wanaflop
Partey anataka kuondoka mwenyewe, plus majeruhi na age, wengine wanasema Sababu ya Ile KESI ya kipindi kile
 
Oky
combination ya xhaka na partey ilikuwa superb sana last season leo hii tunaambiwa kuwa wote wako kwenye exit door
Sasa kama club tunakubalije kupoteza best player wetu without significant replacement
leo hii partey ambaye alikuwa key player last season anauzwa kabla hata hatujapata mbadala wake but siamini kabisa kama arsenal hatuimuitaji tena partey.

Ngoja nikwambie kitu hauitaji kuingia kwenye vikao vya board kujua wanawaza nini unaweza ukaangalia matendo yao tu kwenye market ukajua wanawaza nini.
Binafsi nitaumia sana partey kuondoka, sanaa yaaani, na mkija na hoja ya Jogingho kama mbadala nitawashangaa sana.
 
Wajinga sana hawa Edu, Arteta na bodi.
 
Wachezaji wengi pale arsenal wenye kutegemewa walioongeza mikataba ivi karibuni na waliosajiliwa wanakula kuanzia £200pw, kwaiyo ukiona kimesajiliwa chuma sio potential ujue kinakula kuanzia iyo hela.
 
Mkuu xhaka na partey hakuna aliyeondoka hata mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…