Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal and Ajax are now expected to agree a fee for Timber.

Arsenal have offered a 4-5 year contract and the player will be on 150k a week wages

(@MikeVerweij - Tier 1 Ajax)

telegraaf.nl/sport/69922709…
 
News:

Timber aliomba kubaki Ajax ,ila iliwekwa Realase clause ambayo Ni Siri

Timber alikuwepo kwenye mech ya FA Cup ya manjesta vs city , ndio siku alikutana kwa Siri na Arsenal wakamaliza mchezo ,

Inaonesha Realese clause Ni chini ya £50m

Hivo Arsenal wameshaijua,wakatest kwa £30m iliyokataliwa ,Ajax wapo kwenye presha ,maana inaonesha release clause Ni ndogo ,

Bayern kahijack deal kaambiwa mchezaji anaitaka Arsenal

Now Arsenal na Ajax wanakaribia kukubaliana Bei
 
️ | TRANSFERS: Timber only wants Arsenal move.

: Highly reliable Dutch journalist Mike Verweij has claimed that Ajax defender Jurrien Timber only wants a move to Arsenal this summer.

@MikeVerweij: “But twelve months later, the big leap to the top of English football comes after all. Jurriën Timber (22) has set his sights on Arsenal and is only concerned with that club.”

The Gunners have had a £30m bid rejected by Ajax but are expected to return soon with the club’s not so far off the deal.

Player wants the move - personal terms not an issue. Believe to have a 5-year deal worth £150k per week on the table.
#AFC #Ajax #Transfers #Timber
 
|| Arsenal are not prioritising Moisés Caicedo this window

[Via - @David_Ornstein /

@TheAthleticFC].
 
Chelsea inawabidi wakimbizane na muda kabla ya tarehe 30 ili wafunge vitabu kuepuka FFP

Moja ya kubalansi vitabu Ni kumuuza Kai ambaye amegoma Kubaki

Ofa ya £60m ipo mezani , Ni wao sasa waseme YES
 
|| Arsenal are not prioritising Moisés Caicedo this window

[Via - @David_Ornstein /

@TheAthleticFC].
Kuna binadamu mmoja yuko Lisbon nafikiri Manuel Ugarte ana balaa yule mtu sijui kwanini tunang'ang'ana na hawa akina Rice na Caecedo yule Ugarte ni full package
 
Kuna binadamu mmoja yuko Lisbon nafikiri Manuel Ugarte ana balaa yule mtu sijui kwanini tunang'ang'ana na hawa akina Rice na Caecedo yule Ugarte ni full package
Alitakata mechi hasa ile yetu akara red card ,nilichojifunza mwalimu ana sifa kadhaa anakuwa anazitaka katika kutimiza ayatayo

Nakumbuka Arteta alipigiwa kelele sa na kuhusu Bissouma ,

Na Bissouma aliwaka Sana ,leo Hana namba hata Spurs
 
Yule jamaa ni hatari ndugu ni full package
 
Kuna mwamba niliwahi kumuambia umu kua bayern Hana uwezo wa kupambana na vilabu vya England kwenye soko la usajili akanibishia katu katu wameshatupa taulo mara mbili mbele ya Arsenal kwa Rice na Kai .
 
wewe Aaron Arsenal AKA hamis77 kwa nini hua unajitoa ufahamu dirisha la usajili linapofunguliwa?
Umesahau dirisha dogo timu lako jinsi lilivyokutenda kwa Mudryk?
Wewe endelea tu kujipa moyo halafu baadae uje utuage hapa kwa kutudanganya umeibiwa simu kisha unafungua Id nyingine mpya.

#Arsenal Ndoo
#Haaland Kiatu
 
Kuna mwamba niliwahi kumuambia umu kua bayern Hana uwezo wa kupambana na vilabu vya England kwenye soko la usajili akanibishia katu katu wameshatupa taulo mara mbili mbele ya Arsenal kwa Rice na Kai .
Nakumbuka ukabishiwa na kejeri ,Mimi nilikaa kimya

Hata kwa Timber amegoma kwenda Bayern

Bayern Ni mbabe kwa kunyanyasa timu za ndan ,anajichukulia wachezaji anavyotaka
 
Huwa nakuheshimu naona una akili kumbe mweupe kabisa

Ok upo huru kuropoka chochote
 
hii michezo hata Mudryk aliwafanyia sana lakini hamkomi.
Aliyekwambia kila mchezaji lazima aje Nan?

Yaan hamtaki hata update zinazoendelea tutoe?

Kwasasa Hali halisi Ni hiyo wewe subiri wiki 8-12 timu ndio iuzwe kwa Sir Jim

Mtakuta dirisha lipo mwishon mfanye panic buy za kina Ismail Sawadogo na kumuongezea mkataba mrefu Weghost na Degea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…