Sio bado aisee, Westham wajinga walikuwa wanajua Kutakuwa na biding war ,wamejikuta mchezaji anataka kwenda Arsenal , na Bei wameshusha had £100m ndio maana Arsenal hawana haraka£75m + £15m addons hili dili bado sana West ham wanaipiga chini hii ofa ya pili
Nyie hamna meno bhana , Grazzer wamesema hawauzi timu kwasasa had wiki 8-12 zipite ,Nyie hela amna tu subirini sheikh achukue timu tuje tubebe iyo rice mara moja.
Mahitaji ya Mwalimu inaonesha anamuhitaji Sana Rice kuliko caicedoRoho yangu ingekuwa na msisimko kama juhudi na nguvu inayotumika kumpata Rice ingetumika kwa Caicedo
West Ham reject Arsenal's £90m Declan Rice bid with a third expected
@MalikOuzia_
Kuwa na subira MJUSI , kumbuka westham ndio wanaleta ujuaji Kama unakumbuka walisema Bei ni £120m wakiamini ,Kutakuwa na biding war kina Chelsea ,city ,Bayern, manjesta ,Kila wiki tunatumba ofa zikakataliwa tu mwisho wa siku hadi ligi itaanza tunatuma ofa tu
Maneno tu hayo ,ukweli Ni kwamba Wanataka Upfront nzuri na add ons za muda mfupi (total package ifike £100m) ambayo ndio ofa ya 3 na ya mwisho ,Deal doneshida add ons mnazotoa west ham wanahis hamna uwezo wa kuzifikia
Mkuu sisi hao deadwood tutawquza tu ila yani Rice now sio priority kwetu,Kuwa na subira MJUSI , kumbuka westham ndio wanaleta ujuaji Kama unakumbuka walisema Bei ni £120m wakiamini ,Kutakuwa na biding war kina Chelsea ,city ,Bayern, manjesta ,
Walipokuja kushtuka Bayern kakimbia Bei na mchezaji kaweka waz anataka kubaki London ,
Manjesta Hali tete , Chelsea inabidi auze deadwoods , City ana Rodri na Kelvin Philips na anamuongeza Kova , pia anapambania dili la Josko ambaye Ni €100m .
Hivo favourite anabaki Arsenal ,wakasema ndan ya saa 24 city ataweka bid ,ili tu Arsenal apande dau, Cha ajabu imepita wiki ,city hajaweka ofa yoyote ,
Imebid Westham washushe Bei kutoka £120m had £100m
Ina maana Kama kungekuwepo ukurupukaji Basi ingelipwa over £100m+
Walipokataa bid ya kwanza ,
Nyie pambaneni nae, sisi sahiv tuko kimya kimya, unaona tu tumeagree hatutaki habar za kuwa kwa media,Maneno tu hayo ,ukweli Ni kwamba Wanataka Upfront nzuri na add ons za muda mfupi (total package ifike £100m) ambayo ndio ofa ya 3 na ya mwisho ,Deal done
Caicedo sio kipaumbele ,Nyie pambaneni nae, sisi sahiv tuko kimya kimya, unaona tu tumeagree hatutaki habar za kuwa kwa media,
Caicedo sio kipaumbele ,Tena wameshampandisha Bei had £120mNyie pambaneni nae, sisi sahiv tuko kimya kimya, unaona tu tumeagree hatutaki habar za kuwa kwa media,