computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Mwambie hamis77 Naked truth umeandika Arsenal ni team ambayo inatakiwa kuingia kwenye Guinness world record book [emoji433] kwa ujinga wa namna hii tushukuru last season Guardiola kutambua kosa lake la kutupa players wake na kuapa hatarudia tena otherwise usajili wa Arsenal ni majanga tu200M kwa mpira wa siku hizi siyo pesa ya kujisifu unapoenda nayo sokoni.
Katika 200M chelsea wanakuambia utoe 70M kwaajili ya Kai. Kwangu mimi Kai siyo mchezaji wa kutisha jamaa hajawahi kua na magoli zaidi ya 9 msimu mzima na kuna mashabiki wanaamini akija pale atakua moto.
Mtu mmoja Twitter anakuambia anakuja ili awe ndiye dominant shot taker pale mbele. Halafu ili kuprove hilo akaweka comp video ya kabla hajaja Chelsea, tatizo ni nini unajua? Hata chelsea walitumia comp vid hiyo hiyo kututhibitishia kua wamepata mchezaji mzuri.
Timu inayohusika na usajili ina ujinga mwingi. Same old Arsenal, inamtaka Buendia, Aouar, anakuja Lokonga na Vieira., Tushahitimisha tunahitaji kiungo ambaye yeye mwenyewe aliiaga mpaka timu yake kuna 90M ya Mudryk kwanini isitumike kwaajili ya Caicedo?
So Chelsea atakuuzia Kai kwa 70M kisha ataongeza 20M hivi anachukua mchezaji ambaye ni instant impact kwenye timu yao. Clever. Sisi tukichukua Kai itabidi tucheze 3 2 4 1 ili kumpa uwezekano wa yeye kupata namba kwakua wote tunajua Emile anaweza kufanya hiyo kazi ya shot taking pia hivyo hana wa kumuweka bench pale mbele.
Mi siamini Rice kama mchezaji ambaye inatakiwa kutumia zaidi ya 50M plus English tax tufanye 70M lakini West Ham wanataka 80M+ kichekesho City inamtaka Rice pia, hapo hapo ina Rodri na Kalvin ambaye anasugua benchi tangu afike.
Mashabiki tuliamini kwamba tunahitaji back up ya Saka, Caicedo na kiungo mwingine wa kudevelop pale, na ST ila sasa hivi unasikia ujinga wa Kai na bid ya Caicedo kua rejected
Upande mwingine ni kwamba PSG imeachana na Julian na imemgeukia Arteta, so leo au kesho tukisikia Arteta kaenda PSG itakua ni kwaajili ya ujinga wa bodi kutoelewa kocha akitaja targets zake basi hizo ndiyo anamaanisha anazitaka.
Sasa fikiria dirisha lililopita Arsenal ikawa serious na Caicedo na mchezaji akawa tayari kuja kisha linakuja dirisha kubwa husikii Arsenal ikimuongelea Caicedo badala yake unasikia stori za Kai.Mwambie hamis77 Naked truth umeandika Arsenal ni team ambayo inatakiwa kuingia kwenye Guinness world record book [emoji433] kwa ujinga wa namna hii tushukuru last season Guardiola kutambua kosa lake la kutupa players wake na kuapa hatarudia tena otherwise usajili wa Arsenal ni majanga tu
ujumbe kwa hamis77 ujuaji mwingi,mmemshtukia kawakimbia tena.200M kwa mpira wa siku hizi siyo pesa ya kujisifu unapoenda nayo sokoni.
Katika 200M chelsea wanakuambia utoe 70M kwaajili ya Kai. Kwangu mimi Kai siyo mchezaji wa kutisha jamaa hajawahi kua na magoli zaidi ya 9 msimu mzima na kuna mashabiki wanaamini akija pale atakua moto.
Mtu mmoja Twitter anakuambia anakuja ili awe ndiye dominant shot taker pale mbele. Halafu ili kuprove hilo akaweka comp video ya kabla hajaja Chelsea, tatizo ni nini unajua? Hata chelsea walitumia comp vid hiyo hiyo kututhibitishia kua wamepata mchezaji mzuri.
Timu inayohusika na usajili ina ujinga mwingi. Same old Arsenal, inamtaka Buendia, Aouar, anakuja Lokonga na Vieira., Tushahitimisha tunahitaji kiungo ambaye yeye mwenyewe aliiaga mpaka timu yake kuna 90M ya Mudryk kwanini isitumike kwaajili ya Caicedo?
So Chelsea atakuuzia Kai kwa 70M kisha ataongeza 20M hivi anachukua mchezaji ambaye ni instant impact kwenye timu yao. Clever. Sisi tukichukua Kai itabidi tucheze 3 2 4 1 ili kumpa uwezekano wa yeye kupata namba kwakua wote tunajua Emile anaweza kufanya hiyo kazi ya shot taking pia hivyo hana wa kumuweka bench pale mbele.
Mi siamini Rice kama mchezaji ambaye inatakiwa kutumia zaidi ya 50M plus English tax tufanye 70M lakini West Ham wanataka 80M+ kichekesho City inamtaka Rice pia, hapo hapo ina Rodri na Kalvin ambaye anasugua benchi tangu afike.
Mashabiki tuliamini kwamba tunahitaji back up ya Saka, Caicedo na kiungo mwingine wa kudevelop pale, na ST ila sasa hivi unasikia ujinga wa Kai na bid ya Caicedo kua rejected
Upande mwingine ni kwamba PSG imeachana na Julian na imemgeukia Arteta, so leo au kesho tukisikia Arteta kaenda PSG itakua ni kwaajili ya ujinga wa bodi kutoelewa kocha akitaja targets zake basi hizo ndiyo anamaanisha anazitaka.
Kwangu Rice ni mchezaji atayechukua muda kuadopt. Ni chelsea, city na united ndiyo wanakua tayari kutoa 80M+ halafu wanakuambia mchezaji asubiriwe aadopt.ujumbe kwa hamis77 ujuaji mwingi,mmemshtukia kawakimbia tena.
Anakwambia rice kampita Caceido vitu vingi, na kutuwekea vistatistics uchwara vy kumfavour rice. Wakati dunia inajua rice ni mchezaji wa kawaida sema vyombo vy habari vy Uk.
Hasa hata ukilalamika Utasaidia nini nigga? We kaa na mkeo angalia mpira mambo ya ufundi mwachie Arteta, kwani maoni yako yalisaidia vipi kuirudisha Arsenal UEFA? Acheni kutafuta attention kama mademu, wengi mnaamini kukosoa ndio inafanya muonekana mnajua mpira wakati hopeless, round hii tutawakumbusha comment zenu labda mzifute .Sasa fikiria dirisha lililopita Arsenal ikawa serious na Caicedo na mchezaji akawa tayari kuja kisha linakuja dirisha kubwa husikii Arsenal ikimuongelea Caicedo badala yake unasikia stori za Kai.
Ikatokea kaja Zubimendi mi sitalalamika sana
Hawa Hawa wamemtukana Arteta kwa sajili za kina Jorginho, Odegaard, Ramsadale ,Jesus, n.kHasa hata ukilalamika Utasaidia nini nigga? We kaa na mkeo angalia mpira mambo ya ufundi mwachie Arteta, kwani maoni yako yalisaidia vipi kuirudisha Arsenal UEFA? Acheni kutafuta attention kama mademu, wengi mnaamini kukosoa ndio inafanya muonekana mnajua mpira wakati hopeless, round hii tutawakumbusha comment zenu labda mzifute .
Ben white hujamuongelea brother.Hawa Hawa wamemtukana Arteta kwa sajili za kina Jorginho, Odegaard, Ramsadale ,Jesus, n.k
Leo Ramsdale ndiye most valuable GK duniani
Odegaard yupo kwenye list ya most valuable AM
Sizungumzii alivyowapandisha thaman kina Saka ambaye Ni 3rd most valuable duniani ,
Sitamtaja martinell , n.k
Binafsi huwa naona hata Bora nikae pemben hata mwezi mzima niangalie lawama zao tu,
Leo hao hao wanamponda Kai havertz ,kesho watakuja kumsifia
Jana nilikuwa naangalia mwaka 2020 Mwanzon ,Arteta alimtaka Vini Jr kwa mkopo Kipind hicho Vin Ni machachari Sana , Sasa nikawa nacheki comment za toxic fans wanavyobeza na kutukanaHumu kuna washikaji wachache sana wenye uhalali wakushangalia mafanikio ya Mikel Arteta, most people here are losers, so chaotic like women, plastic fans, Arteta outers wanaotafuta njia ya kuja kivingine kama vinyonga.
Thus why nilichagua kutowajibu Wala kuwa qoute , wanasubiri timu ikosee , waseme mbona hawanioni, wakitaka tujibizane , tufurahie kebehi na matusi,Ben white hujamuongelea brother.
Arteta's talent identification is next to none
Ubaya ni kwamba timu ikifanya vizuri huwezi kuwaona wanasubiri waone draw au kufungwa basi nyuki wanaibuka kushambulia EGO ya hamis
Utasikia "sisi tunasema kila siku haya mambo", sasa timu imezidiwa point nne tu dhidi ya bingwa City, afu unajikuta unasema, unasema nini kaa kimya [emoji1787][emoji1787]
Thus why nilichagua kutowajibu Wala kuwa qoute , wanasubiri timu ikosee , waseme mbona hawanioni, wakitaka tujibizane , tufurahie kebehi na matusi,
Ramsdale alitukanwa had akafunga akaunt, leo huwez kuona Arteta akisifiwa kwa kuziona hizi talent na kuziendeleza
Ndio maana Mimi sishangai Mchezaji Kama Kai, Rice baada ya kuuziwa project wamekuwa haraka Sana kutaka kujiunga
Ni Westham ndio wanalazimisha biding war
But Mwisho tutashinda
Yaah unaposifia hakikisha una make sense, upo logically structured, usiende kusumbua watu timu ikishinda kwamba we're the best itl afu kesho ukipoteza urudi humu kutulilia ooh "This team is trash", inakuwa mihemko hiyo. Huwa tunaona mnavyozingua huko majukwaa ya watu na mkipoteza wa kwanza kurudi huku kulia na kutoa mapovu.[emoji1787]Penye kusifia tunasifia, penye kulaumu tunalaumu; hatuendi kama makondoo kwa sababu arteta kaamua
Ben white hujamuongelea brother.
Arteta's talent identification is next to none
Ubaya ni kwamba timu ikifanya vizuri huwezi kuwaona wanasubiri waone draw au kufungwa basi nyuki wanaibuka kushambulia EGO ya hamis
Utasikia "sisi tunasema kila siku haya mambo", sasa timu imezidiwa point nne tu dhidi ya bingwa City, afu unajikuta unasema, unasema nini kaa kimya [emoji1787][emoji1787]
Sijawahi kuona mkisifia zaidi mnalalamikaPenye kusifia tunasifia, penye kulaumu tunalaumu; hatuendi kama makondoo kwa sababu arteta kaamua
Cheki mzigo huu, unaweza ukampiga mtu 7 afu kama hujamfunga vile[emoji16]View attachment 2661269