Sio kweli ndio maana nasema tafuta taarifa sahihi ,Chelsea hawakuambiwa NOT FOR SALE ,waliambiwa wa trigger Release clause ya €127m na sio kitu kingineunakumbuka chelsea walivyoambiwa not for sale kwa enzo?? mwisho wa siku walikomaa mpka wakampata so na sisi kama tungekomaa tungempata
Nothing is for sale kwenye football ni mzigo na negotiation skill zako tu
N.B unapokosa top priority yako kuisajili una kuwa kwenye chance kubwa ya kusajili galasa/panic spending
Poa poaSio kweli ndio maana nasema tafuta taarifa sahihi ,Chelsea hawakuambiwa NOT FOR SALE ,waliambiwa wa trigger Release clause ya €127m na sio kitu kingine
Mchezaji mwenye Release clause anauzwa muda wowote ,maana Ni kutrigger tu
Spain na Ureno kila mchezaji ana Release clause ,hakuna Cha NOT FOR SALE
Bid ya 2 imetumwaPoa poa
Caicedo anaenda Chelsea ,kawakataa Bayern anasema anabaki EPLarsenal eneo la muhimu zaidi kuimarisha ni lile eneo la kati la ushambuliaji..
jesus na nketiah bado sna kiuwezo.. pia hwana nguvu za kupambana na defenders.. unawaona jinsi wanavo struggle kabisa.
chelsea kama vip wachukue iyo ela ya kai.. waongezee kidogo wakamchukue caicedo.. kai aende arsenal.. dogo anauwezo mkubwa sna.. ni vile apo chelsea kakosa mwalimu mzuri kama yule alokuwa nae kipindi yupo bayer leverkusen.
Sasa hapa Arteta afanye unyama mmoja hatari Sana ,akimalizana na Rice & Kai , aende kwa Lavia Hana tofaut kubwa uchezaji wake na Partey au Caicedo,anapatikana kwa £40-45mNaona Chelsea anaenda kupigwa £120 Kwa Caicedo
Tukimpata Rice, Havertz na Lavia Arsenal itatisha!.. nadhani Arteta Kajitoa Dili la Caicedo Kwa sababu ya Bei!.. tuombe Mungu tumpatr Rice Hawa wengine ni wepesi tuSasa hapa Arteta afanye unyama mmoja hatari Sana ,akimalizana na Rice & Kai , aende kwa Lavia Hana tofaut kubwa uchezaji wake na Partey au Caicedo,anapatikana kwa £40-45m
InshallahTukimpata Rice, Havertz na Lavia Arsenal itatisha!.. nadhani Arteta Kajitoa Dili la Caicedo Kwa sababu ya Bei!.. tuombe Mungu tumpatr Rice Hawa wengine ni wepesi tu
Lavia + Rice + Havertz hakuna wachezaji hapa kidogo nafuu Rice hao wengine ni squad players tu hawana maajabu yoyote.Tukimpata Rice, Havertz na Lavia Arsenal itatisha!.. nadhani Arteta Kajitoa Dili la Caicedo Kwa sababu ya Bei!.. tuombe Mungu tumpatr Rice Hawa wengine ni wepesi tu
Lavia + Rice doesn't make sense, Rice & Caicedo? yes, sababu Caicedo anakuwa develooed as #8 kama Ikay Gundogan au Wijnuldum. Lavia ni 6, Rice pia ni 6, potential yake kubwa ipo kwenye holding position, mfano inaonesha wazi Guardiola akimpata Rice atamchezesha kama 8 baadae atarudi kumreplace Rodri kama 6.Sasa hapa Arteta afanye unyama mmoja hatari Sana ,akimalizana na Rice & Kai , aende kwa Lavia Hana tofaut kubwa uchezaji wake na Partey au Caicedo,anapatikana kwa £40-45m
Kumbe taarifa za kuwa City wanamtaka Rice zimevujishwa na Westham wakiwapa waandishi wa habari ili kuwaharakisha Arsenal wapende dau
Vyanzo vya uhakika vinasema City Hana mpango na Rice, hajatuma ofa yoyote
hamis77 unanifurahisha bro usidanganyike namna hii Guardiola hajaamua tu kupeleka fungu but naamini siku sio nyingi utaskia kapeleka fungu na Rice ni Manchester City playerAcha Arteta na Edu waendelee kuremba hili deal utakuja kuyaona ya Mudyr
Lavia aje kuongeza Depth , Lavia anaweza kucheza DM ,halafu Rice akasogea #8 LHS ,Lavia + Rice doesn't make sense, Rice & Caicedo? yes, sababu Caicedo anakuwa develooed as #8 kama Ikay Gundogan au Wijnuldum. Lavia ni 6, Rice pia ni 6, potential yake kubwa ipo kwenye holding position, mfano inaonesha wazi Guardiola akimpata Rice atamchezesha kama 8 baadae atarudi kumreplace Rodri kama 6.
Long run inabidi Rice awe namba sita, ubora wake mkubwa upo hapa, kumpata mchezaji kama yeye kwa namba sita ni nadra. Kai havertz namuona akicheza CF/ RW. So nahisi Arsenal itahitaji another offensive mid au ESR achukue nafasi ya Xhaka.Lavia aje kuongeza Depth , Lavia anaweza kucheza DM ,halafu Rice akasogea #8 LHS ,
Japo naona kabisa Rice akicheza DM Sana ,Kai akisogea juu na Odegaard