Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
B war waliyokua wanaitaka Brighton wanaikosa sasa nahis chelsea kwa sasa ndo wamebaki kwenye mbio za Caicedo|| So, the article that stated we’ve withdrawn from the Caicedo race is no longer available.
Nafas ya 12 na nyie nafasi y pili tuna tofauti gani? kwanza Ars88 ndio mlikua na msimu mmbovu kushinda chelsea. ila hata hamjui! Jins mlivyo makondoo mtabisha.Unayeongea Sasa Ni mshabiki wa timu ambayo imemaliza nafasi ya 12 na haujui msimu ujao mtagombea kushuka daraja au Kubaki
Watu Kama nyie sio wakuwajibu mpo kusaka engagement
Wewe akili zako fupi ,sitakujibu tena ,maana hata wenzako kule jukwaani kwenu wanakuonaga chizi ,Nafas ya 12 na nyie nafasi y pili tuna tofauti gani? kwanza Ars88 ndio mlikua na msimu mmbovu kushinda chelsea. ila hata hamjui! Jins mlivyo makondoo mtabisha.
Mwakani tuna mashindano machache mnaweza mkashuka nyie vilaza, mashindano mengi uwezo mdogo.
Kama Anasajiriwa Kai na Rice ,Basi automatically dili la Caicedo hatutahusika ,labda Kiungo mmoja auzweB war waliyokua wanaitaka Brighton wanaikosa sasa nahis chelsea kwa sasa ndo wamebaki kwenye mbio za Caicedo
Viceversa is true...tena OT....Kwa hii ratiba yetu nawaona kabisa arsenyani mkipanga mstari na kutupigia makofi mabingwa wa msimu wa 2023/2024View attachment 2658792
Binafsi naona mkitupa guard of honorKwa hii ratiba yetu nawaona kabisa arsenyani mkipanga mstari na kutupigia makofi mabingwa wa msimu wa 2023/2024View attachment 2658792
Wabaki nae kmmk...Brighton wamepandisha Bei ya Caicedo had £120m
Tony Bloom values Moisés Caicedo as high as £120m. Chelsea are in pole position. Reports,
@Matt_Law_DT.
Wabaki naye tu Kwa kweliWabaki nae kmmk...
70 + GalagherBrighton wamepandisha Bei ya Caicedo had £120m
Tony Bloom values Moisés Caicedo as high as £120m. Chelsea are in pole position. Reports,
@Matt_Law_DT.
MBona nyie mashabiki wa arse888 ndio tunawaona mna akili fupi?! Mana hamuwez mkawa timamu, kila mwaka ikifika usajili mnapamba sajili zenu mwisho wa msimu mnatoka hola, halaf msimu unaofuata tena hivyo hivyo hola, na mwingine na mwingine hola. then hamjifunzi.Wewe akili zako fupi ,sitakujibu tena ,maana hata wenzako kule jukwaani kwenu wanakuonaga chizi ,
Sitakujibu endelea kujiongelesha hapa
Tupen 75 hiyo kwa Kai, msilete ubahili wenu, japo sipendi tuwauzie huyu jamaa, tutakuwa tumefanya makosa yale yale.Fabrizio Romano
Understand Kai Havertz has given green light to Arsenal contract bid after positive indications #AFC
No problem on personal terms.
Arsenal & Chelsea in contact — no chance for £75m but Chelsea will be flexible.
Bayern, informed… but still quiet.
Real 100% out of the race.
Ningependa sana Kai asajiliwe Arse88 ili nikuprove wrong, kwamba Kai ni mchezaji wa hovyo. Wanaenda kupgwa. EPL imeshamshinda mchezaji mlenda sana. Najua Lile goli la UEFA ndilo linalokuvuruga.Tupen 75 hiyo kwa Kai, msilete ubahili wenu, japo sipendi tuwauzie huyu jamaa, tutakuwa tumefanya makosa yale yale.
Kai kwa uchezaj wenu naona kabisa akingara.
A Villa si washajibebea...!Hivi Tielemans tumeachana naye mazima?
Thanks. Sikuwa na hii taarifaA Villa si washajibebea...!
Kuna sehemu nimekujibu ,why unawashwa na mimi kila ninachopost?
Kama unatafuta bwana ,Mimi sijihusishi na mambo ya Ushoga
Maana kutwa kunifatilia , na nilipokuona huna akili nikakwambia nitakaa mbali na wewe ,Cha ajabu unanifatilia ,je umesikia natafuta shoga?
Sitakujibu tena ,Kama unataka mtu wakukuna , tafuta mwingine, sikujui na sijawahi kujadiliana na wewe .