Mbona rahisi sana ikiwa timu inatumia hela za mafuta ya waarabu.Siku arsenal wakibeba hata conference tu nikatwe kichwa.
Mbona rahisi sana ikiwa timu inatumia hela za mafuta ya waarabu.
Kama ni rahisi waulize PSG.Mbona rahisi sana ikiwa timu inatumia hela za mafuta ya waarabu.
Chelsea yametumia £600million Kwa msimu mmoja tuMbona rahisi sana ikiwa timu inatumia hela za mafuta ya waarabu.
wabongo akili zetu tunazijua sisi tu, kuna huyu flano, ARV na kuna jamaa best sijui kwenye hizi akaunti 3 computerarsenal hakosi hapo, hiii iliyoibuka sahivi ni computer aliyebadili jina tu
ENDELEENI kupewa mimba na kuzaa, sisi wanaume hatuzaagi!EUROPEAN TITTLE...
Chelsea kazaliwa (abramovich kanunua) kamkuta arsenal anatambaa (hana uefa), kakua, kazaa (kabeba uefa) arsenal bado anatambaa.
Man city kazaliwa kamkuta arsenal anatambaa, kakua, kazaa, arsenal bado anatambaa.
Newcastle kazaliwa upya, kamkuta arsenal anatamba, anakua, huenda naye atazaa pia huku arsenal bado anatambaa.
A bunch of loosers.
Acha nianze kunoa shoka langu.... You'll be surprised soonSiku arsenal wakibeba hata conference tu nikatwe kichwa.
Usajili bila tetesi kwanza it's impossible.Arsenal na Westham Kama mazungumzo yameenda positive Basi ,Dili linakaribia,
| @FabrizioRomano on Arsenal and Declan Rice:
“Positive initial talks have taken place in recent days, and Arsenal want to submit a proposal. I’m aware of some reports of a swap deal… Emile Smith Rowe, however, is part of Arsenal’s plans for the future, they don’t want to let him go.” [@caughtoffside] #afc