Sina muda wakubishana na wewe naona unafosi SanaDaaah its against man utd, season hiii haikuwa arsenal vs man utd in title race !!! Akili za arsenal fans bado zipooo mwaka 2008 inasikitisha kweliii !!! Man utd ambae msimu wake huu anajiona mbovu lakini wewe unafurahiii kumfunga na ukimfunga unajiona bingwa, nembu lete hii huyo rice against man city!!
Stats za rice against man utdtimu ambayo bado inajitafuta
Sasa Rice wa nini United? Chukueni nyie Arsenyani.Oya manjesta hela hakuna
Manchester United have made a check on Declan Rice, but finances will prohibit them from paying £100million for a midfielder, which is West Ham’s asking price.
Arsenal are seen as strong favourites to be the 24-year-old England international’s next club.
@lauriewhitwell- Tier 1 for manjesta newa
Manjesta una viungo gani Hadi umkatae Rice ? Tuongee ukweliSasa Rice wa nini United? Chukueni nyie Arsenyani.
Sina muda wakubishana na wewe naona unafosi Sana
Tatizo ni bei yake, wakati huohuo sokoni kuna Caicedo na Amrabat kwa bei pungufu.Manjesta una viungo gani Hadi umkatae Rice ? Tuongee ukweli
Caicedo ni £75-80m ,sio pungufu hiyoTatizo ni bei yake, wakati huohuo sokoni kuna Caicedo na Amrabat kwa bei pungufu.
Yesss Huku ndipo tunatakiwa kwenda wachezaji waongezewe mishahara mikubwaWilliam Saliba
New contract £200k per week
Arsenal plan a renewed offer for Caicedo .
Arsenal also want to sign another attacking player, a centre back and a full back.
(@garyjacob )
Peleka ofa faster £75M au £80M, tukamilishe mapema ukizingatia tukimsajili huyu jamaa ni kama tumesajili wachezaji wawili kwa wakati mmoja LB na DM.
Kumbe hamisa77 ndio computerarsenal sikuwa najua aiseeComputerarsenal aka milangomitatu gwiji la kufeli halijawahi patia chochote, sahivi limechange akaunti eti linaumia kuona timu mbovu Arsenal kukosa ubingwa
. Aaron Arsenal ni hamis77 ila niliamua kujipa muda mpaka dirisha la usajili likikaribia kufunguliwa ndio nitajihakikishia kua ni kweli.
Jaman hata mimi naomba nielezewe quality ya rice please nastruggle kuiona uwanjaniNamkubali sana huyu mwamba ni mara 2 ya Rice
Huwa namshangaa sana tunavyopigwa bei za ajabu. Liva kachukua McAllister kwa 35m tu, ila Arsenal akienda sasa mara hauzwi mara ujinga gani bei hiyoo mfano Caicedo na Muddy.Rice overprice tu hapo juzi amraabat kamshikisha magoti mara kibao tuu!!! Huyu beiyake inatikiwa kuwa kwenye 50 huko na si hio 100.