BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
...hakuna manager 'wa maisha',
...mwenzie Sir Alex Fergie kuna msimu ulimkalia vibaya nusura mashabiki wamkate shingo, akatangaza anaomba mwaka mmoja zaidi baada ya ku retire... matokeo yake amejenga kikosi imara, chenye wachezaji chipukizi na wakongwe...
...huyu AW yeye anabahati washabiki wa Arsenal ni wastahmilivu, lakini sasa ustahmilivu unaanza kutushinda,...nadhani uliona Board ilipompa ultimatum; "finishing outside top four is a failure", haraka haraka akamnunua Arshavin!
Timu haijengwi na chipukizi peke yake, lazima kuwe experience pia, wachezaji kama Pires, Gilberto, ...nk
It was a big big big mistake kumwachia FLAMINI aondoke kwa kukataa kumlipa tofauti ya £5,000 tu!
Haya, yalopita si ndwele,...tutange yajayo!
Kwanza you are right yaliyopita tuyaache!..
Kwahiyo AW anakuwa kama mchumi au nini?Fweza kama zipo si kununua vifaa bora kama ulivyosema chipukizi lazima wachanganyike na wazoefu..
All in all, tusubiri breaking news!..Mfaransa yule,Emirates watamiss kama ataondoshwa na kweli washabiki wavumilivu hawakuwa na kelele za kutishaa!
...hakuna manager 'wa maisha',
...mwenzie Sir Alex Fergie kuna msimu ulimkalia vibaya nusura mashabiki wamkate shingo, akatangaza anaomba mwaka mmoja zaidi baada ya ku retire... matokeo yake amejenga kikosi imara, chenye wachezaji chipukizi na wakongwe...
...huyu AW yeye anabahati washabiki wa Arsenal ni wastahmilivu, lakini sasa ustahmilivu unaanza kutushinda,...nadhani uliona Board ilipompa ultimatum; "finishing outside top four is a failure", haraka haraka akamnunua Arshavin!
Timu haijengwi na chipukizi peke yake, lazima kuwe experience pia, wachezaji kama Pires, Gilberto, ...nk
It was a big big big mistake kumwachia FLAMINI aondoke kwa kukataa kumlipa tofauti ya £5,000 tu!
Haya, yalopita si ndwele,...tutange yajayo!
Mmmmh Gulp Gulp nimeamka baada ya match matokeo ndo vile tena tumeshindwa home ground... kwa HASIRA KESHO mimi nipo BARCA... Najua shujaa wetu Henry atatunyanyua fainali... Arsenal wooooye,BARCAS/Henry Woooyeeeeeeeeeeeeeeeeeee... Blurp ZZZZzzzzzzzzz....!!!
Mbu,BAK,Shadow,Next Level,Yoyo,Richard,Kanakansungu et all ,ingawa haya matatizo ya kufungwa kila siku mmeyazoea but napenda kuwapa pole tulishawaambia solution ni kumtimua huyo Prof. wa uchumi bila hivyo mtaendelea kufight nafasi ya 4 kwenye ligi na robo final kila season

Tatizo nilonalo na Wenger ni kuwa huwa kila akitaka kufanya Tactics anaishia kuharibu, for sure ilikuwa Big Mistake kumweka Van Persie as a winger inhali hawezi kuja katikati kusaidia kiungo wala nyuma (the likes of Park na Runi), for me that was the reason tulifunika kiungo na kukata supply ya mipira mbele, y dont he play Diarby?
Sor!
Kwa walipofikia mwaka huu wamejitahidi sana hasa ukizingatia viwango vya wachezaji wenyewe. Hii ni mara ya pili kwa Arsenal kufika hatua ya nusufainali pamoja na bajeti ya kichumi waliyonayo. Walichokosa miaka yote ni tactics za mechi kubwa na kushindwa kupata matokeo wanapokuwa kwenye presha hasa kutokana na uchanga wao.
Mtindiowaubongo si mlaumu Wenger kwa game ya jana bali namlaumu kwa tactics zake na philosophy yakeMkuu unamwonea tu Wenger..magoli 2 ya harakaharaka yote yalitokana uzembe wa wachezaji wenyewe..baada ya pale ndio hivyo tena sufuria la pilau kwa wale watoto likawa limeingia nyongo..lakini wangeanza kufunga wao nna hakika mngejuta kuwajua...
Mtindiowaubongo si mlaumu Wenger kwa game ya jana bali namlaumu kwa tactics zake na philosophy yake
Hana tactics za game kama hizi ukimlinganisha na Hidink,Benitez,Mourinho au SAF kwa mtizamo wangu naona Diaby kwa sababu ya nguvu alitakiwa aanze
Philosophy yake ya kupenda mpira wa pasi 50 halafu hata golini hujafika haifai kwa sasa ukizingatia unacheza na timu ya England then wachezaji muhimu ambao wanaisadia timu anawauza tena kwa bei chee (Diara,Flamini,Helb) sijaona hata mchezaji mmoja mwenye uchungu na hiyo timu ukilinganisha na Liverpool(Gerrard,Caragher,Mascherano,Beanayouni)
Chelsea(Terry,Drogba,Lampard,Esiien) ManU(Rio,Vidic,Fletcher,Oshea,Park,Rooney)
Wakulaumiwa sio wachezaji lile goli la 3 uzembe ulikuwa wa nani?