Computerarsenal aka milangomitatu gwiji la kufeli halijawahi patia chochote, sahivi limechange akaunti eti linaumia kuona timu mbovu Arsenal kukosa ubingwaArsenal have the most valuable goalkeepers in the world. But people out there keep questioning Arteta decisions ?View attachment 2649412
@Will JrComputerarsenal aka milangomitatu gwiji la kufeli halijawahi patia chochote, sahivi limechange akaunti eti linaumia kuona timu mbovu Arsenal kukosa ubingwa
@Will Jr
Jamaa ako Rice anakuja Arsenal
Naomba uchambuz yakinifu atatumikaje? Nasikia Arteta anataka kumtumia Kama #8 LHS Chini ya Jorginho alongside Odegaard
Wakichagizwa na Zinchenko
Au unaona akitumika Kama DM ?
pia tutasajiri Creative Midfielder
Hapo ndio nachanganyikiwa
Arsenyo ni kama debe tupu hua haliishi kupiga kelele, yaani mpaka Westham nao wamebeba Kombe la Ulaya msimu huu halafu Arsenyani kombe lake ni kuingia top4 baada ya kucheza futuhi kwa miaka 8 mfululizo.ila arsenal fans !!!! Yaani wakileta tu maneno utajua arsenal ni bonge la timu. Hizi kelele wote tungekuwq vipofu basi tungeamini arsenal ndo timu yenye trophies nyingi lakini 20 years hamna cha maana!!!
Arsenyo ni kama debe tupu hua haliishi kupiga kelele, yaani mpaka Westham nao wamebeba Kombe la Ulaya msimu huu halafu Arsenyani kombe lake ni kuingia top4 baada ya kucheza futuhi kwa miaka 8 mfululizo.
#Arsenyo ndoo
#Haaland kiatuView attachment 2650170
Computerarsenal aka milangomitatu gwiji la kufeli halijawahi patia chochote, sahivi limechange akaunti eti linaumia kuona timu mbovu Arsenal kukosa ubingwa
Computerarsenal aka milangomitatu gwiji la kufeli halijawahi patia chochote, sahivi limechange akaunti eti linaumia kuona timu mbovu Arsenal kukosa ubingwa
Ukiwasikiliza sasa mashabiki wao unabaki unacheka tu, kuna mtoto wangu wa 4years asubuhi kila nikiwa natoka nyumbani hua ananiambia jioni nikirudi nimnunulie gari, pikipiki, baiskeli na meli, mimi hua naumuitikia tu halafu jioni nikirudi namletea pakti ya karanga au mahindi ya kuchoma.Kila mtu wanamtaka maneno mengiiiii mwisho wa siku wanatoka empty, ona liver kimyakimya kachukua maclister ila arsenal tetesi tu mwisho wa siku wanakuja kina viera
Oya manjesta hela hakunaUkiwasikiliza sasa mashabiki wao unabaki unacheka tu, kuna mtoto wangu wa 4years asubuhi kila nikiwa natoka nyumbani hua ananiambia jioni nikirudi nimnunulie gari, pikipiki, baiskeli na meli, mimi hua naumuitikia tu halafu jioni nikirudi namletea pakti ya karanga au mahindi ya kuchoma.
Huyu dogo akili zake hua nazifananisha na mashabiki wa Arsenyau, utasikia dirisha hili tunamsajili Caisedo, Rice, Gundogan, McCallister hua nabaki kucheka tu maana najua mpaka dirisha linafungwa wanaishia kununuliwa karanga au mahindi ya kuchoma tu.
Oya manjesta hela hakuna
Manchester United have made a check on Declan Rice, but finances will prohibit them from paying £100million for a midfielder, which is West Ham’s asking price.
Arsenal are seen as strong favourites to be the 24-year-old England international’s next club.
@lauriewhitwell- Tier 1 for manjesta newa
Mimi hayanihusuRice overprice tu hapo juzi amraabat kamshikisha magoti mara kibao tuu!!! Huyu beiyake inatikiwa kuwa kwenye 50 huko na si hio 100.
Mimi hayanihusu
Cry more
Cry moreRice overprice tu hapo juzi amraabat kamshikisha magoti mara kibao tuu!!! Huyu beiyake inatikiwa kuwa kwenye 50 huko na si hio 100.