Rice Arsenal ndio front-runner , Arsenal wameweka clear baada ya fainal ya conference league, inatumwa bid ya £92M , RELIABLE SOURCES zote zimethibitisha , na Rice alishamalizana kitambo na Arteta toka game ile ya kwanza EmiratesRice + Caicedo duh! Tuendelee kuamini hii kitu inatokea kwa manufaa ya hili chama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uzuri wake hapo hakuna mchezaji hata mmoja atae kuja Asenyo.Nacheka lakini naogopa
Rice Frelo Ode
Zinny Maga Saliba Cancelo/Caicedo
Kama Caicedo atakuja Basi atatumika Kama Inverted RB
Za ndani zinasema Brighton watakubali £75m
Ila Arteta kaomba Bodi ifocus kwanza kumaliza dili la Rice ,ndipo amruhusu xhaka kuondoka na usajili mwingine ufanyike
Pia Guardiola yupo tayari kumuachia Cancelo kuja Arsenal
Gundogan itajulikana Kama atakuja au ataenda Barca
Sub Naanza na Partey ,
Aloh manjesta kazi mnayo
Siamin kama Caicedo atakuja Arsenal maana hata tetesi zake sizioni tena, zaid ya chelsea kumtolea macho waoRice + Caicedo duh! Tuendelee kuamini hii kitu inatokea kwa manufaa ya hili chama.
@hamis77Siamin kama Caicedo atakuja Arsenal maana hata tetesi zake sizioni tena, zaid ya chelsea kumtolea macho wao
Nacheka lakini naogopa
Rice Frelo Ode
Zinny Maga Saliba Cancelo/Caicedo
Kama Caicedo atakuja Basi atatumika Kama Inverted RB
Za ndani zinasema Brighton watakubali £75m
Ila Arteta kaomba Bodi ifocus kwanza kumaliza dili la Rice ,ndipo amruhusu xhaka kuondoka na usajili mwingine ufanyike
Pia Guardiola yupo tayari kumuachia Cancelo kuja Arsenal
Gundogan itajulikana Kama atakuja au ataenda Barca
Sub Naanza na Partey ,
Aloh manjesta kazi mnayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo kitu kilicho changia mkose ubingwa maana mnaiwaza man united kuliko hata timu mliyokuwa mnafukuzana nayo ubingwa.Declan rice hapa Jojinho Frelo ,huku Zinny huku Cancelo huku Fundi mmoja na nusu Martin Odegaard
Alloh ,
Namkanda manjesta pale OT bila ganzi
Kama msimu uliopita hakugusa mpira kwa dk 20
Msimu huu kazi wanayo
Rice Arsenal ndio front-runner , Arsenal wameweka clear baada ya fainal ya conference league, inatumwa bid ya £92M , RELIABLE SOURCES zote zimethibitisha , na Rice alishamalizana kitambo na Arteta toka game ile ya kwanza Emirates
Phase 3 ya Project Ni kusajiri only Quality players kwa Bei ya juu (Rejea interview ya edu)
Caicedo alikubaliana Summer hii aondoke , So Dili lake sio hot sababu focus ya kwanza Ni RICE
Lakini Kuna maingizo ya RB , ambaye either Cancelo au Caicedo
Progressive no.8
Credit to David ornstein, Sam Mokbel , Sr. Collings, Matt Law DT ,
Kwamba Arsenal ana uwezo wa kiuchumi kuliko Arsenal ? JidanganyeBuyern hana uwezo huo,
Ww uliona mara ya mwisho buyern kutoa £70 kununua mchezaj ni lini?Kwamba Arsenal ana uwezo wa kiuchumi kuliko Arsenal ? Jidanganye
Tupe gharama ya De Light na HernandezWw uliona mara ya mwisho buyern kutoa £70 kununua mchezaj ni lini?
Kombe la mganga auMsg from United FanView attachment 2644847
We kenge, unaendeleaje huko ulipoMsg from United FanView attachment 2644847