Partey ni inverted fb brother anauzwaje tena? ila ni sawa kama tunawapata Rice na Caicedo ahhahHizi tetesi za kuwauza Xhaka na Partey kwa pamoja mbona kama zinaturudisha sana nyuma aisee.
Aaron wapi? shusha transfer link brother, let's create bad atmosphere as usual brother ahahaha
hamis77Aaron wapi? shusha transfer link brother, let's create bad atmosphere as usual brother ahahaha
Nikuulize swali...? Kwani man city hafungwi n a timu ndogo....? Ni kwa nini ni kazi kupoteza akiwa anacheza na big 6...? Halafu nitajie mechi alizopoteza msimu huu. Unataka ubingwa halafu unakubali kumuachia point 6 mwenzioAcha kutudanganya!! Kwa table ilivyokuwa arsenal akifungwa na man city home and away still alikuwa anachukua ubingwa!!Arsenal gemu za westham na soton ndizo zimefanya kazingua na si vingine!! Kwa relegated soton both home and away ameambulia point2 tu both home and away!! Sio lazima kumfunga man city swala at the final end arsenal anaweza kushinda game zikiwa zimebaki 8 or 10 to go au visingizio vitabakii vile vile wachezaji wamechoka!!!
Nikuulize swali...? Kwani man city hafungwi n a timu ndogo....? Ni kwa nini ni kazi kupoteza akiwa anacheza na big 6...? Halafu nitajie mechi alizopoteza msimu huu. Unataka ubingwa halafu unakubali kumuachia point 6 mwenzio
Unazidi kuthibitisha mapenzi yako kwa arsenal mkuu.Man city kapoteza kwa Tottenham, man utd, Liverpool na brentford both away and home!
Arsenal kapoteza kwa man city ,man utd, Everton, brighton na Nottingham forest .
Hapo aliyepoteza kwa mechi nyingi kwa big six ni nan??
Man city 6-3 man UTDMan city kapoteza kwa Tottenham, man utd, Liverpool na brentford both away and home!
Arsenal kapoteza kwa man city ,man utd, Everton, brighton na Nottingham forest .
Hapo aliyepoteza kwa mechi nyingi kwa big six ni nan??
Kuna timu ambayo man city kamuachia point 6 hapo kwenye timu ulizozitaja...?Man city kapoteza kwa Tottenham, man utd, Liverpool na brentford both away and home!
Arsenal kapoteza kwa man city ,man utd, Everton, brighton na Nottingham forest .
Hapo aliyepoteza kwa mechi nyingi kwa big six ni nan??
Man city 6-3 man UTD
Man city 4-1 Liverpool
Epl ulikuwa unaangalizia chin ya mti wewe
Nimekuuliza big 6 yupi kachukua point 6 kwa man city..?Brentford home and away . Liverpool 1-0 man city, man utd 2- 1 man city . Usifikiri tunakurupuka hapa
Hujielewi wewe unajua maana ya away and home ....Brentford home and away . Liverpool 1-0 man city, man utd 2- 1 man city . Usifikiri tunakurupuka hapa
Kwahiyo Newcastle ni timu mpya EPL?daaah!!! Ila mashabiki wa arsenal mna imani asee hii imani ni kubwa mno, yani unavyosema arsenal ina project its like a new team in the league! Timu ambayo tunasema ina project ni kama Newcastle na si arsenal. Project ipi hiyo nembu tuelezee kidogo na sisi tuijue hio phase ya 4 na 5 inahusisha nini na archivement zake ni zipi??
"brentford both away and home"Man city 6-3 man UTD
Man city 4-1 Liverpool
Epl ulikuwa unaangalizia chin ya mti wewe
Brenford amempiga City home & away.Kuna timu ambayo man city kamuachia point 6 hapo kwenye timu ulizozitaja...?