Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah zaid ya statistics za google na hapa na pale bado sijaona clear vision yako.hebu jibu hili swali wewe ni SHABIKI au MPENZI WA MPIRA ukiwa ndani ya arsenal?
 
Ok. Arsenal ni timu ndogo.
 
Haaaah, hivi kumbe mpaka west ham wanaweza kubeba european cup (conference) halafu hizi kima humu zinabaki kujitapa na mpira mzuri!!!
Kweli wehu hawawezi kuisha duniani.
 
Haaaah, hivi kumbe mpaka west ham wanaweza kubeba european cup (conference) halafu hizi kima humu zinabaki kujitapa na mpira mzuri!!!
Kweli wehu hawawezi kuisha duniani.

Lini umeona mashibiki wa Arsenal wakiwa na fikra za kubeba makombe?

Wao wanachojua ni ateta anamiliki mpira.

Makombe Makubwa waachie timu hizi:
1. Chelsea
2. Man City
3. Liverpool nae kidogo

Zile kombe za panya waachie
1. Man u.
2. Arsenal
3. Sijui na nani vile
 
Hivi Aaron Arsenal yuko wapi!? Alikua mjuaji sana pamoja na Jackwillpower na kujifanya timu Ina squad depth kubwa ilihali nilieleza jinsi akiumia beki mmoja tu timu itaporomoka.

Kaumia tu Saliba timu imeporomoka, alafu baada ya kuona timu inafungwa wamekimbia jukwaa. Very biased analysts humu hamna wanalojua ila wamejaa kashfa tu eti "umekuja juzi". Leo mko wapi Sasa?

Popote mlipo know that you are a bunch of delusional losers.
 
Namkubali Aaron anajua mpira kama walivyo mashabiki wengi wa arsenal. Kitendo cha kukaa kimya ni kuonesha levels maana Nzi mmejaa sn humu.
 
Arsenal while looking to reinforce the squad, will allows three fringe players to move on, TK, ESR and Holding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…