Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila arteta ni wakufukuzwa hapo Arsenal mnaitajika mpate kocha mfano wa Mourinho au Conte hatawafaa sana.

Inabidi muachane tu na uo mpira wa pasi pasi labda mtapata hata mafanikio ya msimu mmoja.
 
Jinsi mlivyokua mnawasifia hawa nguchiro wenu leo mnaanza kuwakataa wenyewe?
Tajiri yenu Enos Stanley Kroenke amesema msimu huu hata toa hata mia yake mbovu kununua mchezaji, anadai sera ya timu ni kukuza vipaji na kuviuza ili kampuni yake ipate faida ya kutosha.
Hio sera ya kununua wachezaji wa bei ghali anasema haina faida yoyote zaidi ya kuifilisi tu kampuni yake ya Kroenke Sports & Entertainment.
Kroenke ameongea hayo huku akitolea mfano hai wa timu ya Chelsea ilivyo Sasa baada ya kutumia pesa nyingi kusajili.
 
Napoli wamebeba ubingwa wao wa Serie A mwaka huu baada ya miaka 33. Huoni kama miaka mingi ya kujaribu na kufeli ndiyo itaongeza furaha na thamani ya ubingwa siku Arsenal watakayoweka mikono yao kwenye taji la EPL.

Napoli haijawahiii kuwa na misimu 3 inaongoza ligi mpaka december then ikazingua kuna utofauti wa napoli na arsenal… Arsenal ana zaidi ya misimu 3 anaongoza ili ikifika December anachoma wazungu wanaita “ bottled the title” napoli hajawahi kubottle the title… amepata chance kaitumia even Newcastle akipata chance kama arsenal iliyopata atakuwa bingwa ila arsenal haweziii fanya hivyo!!! Kuna utofauti mkubwa
 
Arsenal ingekua haijaongoza ligi kwa muda wote huo na kwa tofauti ya point 8 na game zikiwa zimebaki 8 angekuwa tu muda wote yupo second place tungesema “ yeah well done boys “ mmekua na msimu mzurii ila umeongoza ligi siku zote hizo then unachoma. Huwezi kusema imejitahidi au ilikua na msimu mzuriiii kwa kuchoma game 8 !!!!

### kataa kuwa kichekesho arsenal fan ni kichekesho na ujinga###
 
kama ni shabiki uliewahi ishuhudia arsenal ikibeba kombe la EPL ;huwezi kuhama timu eti kisa lbda haijabeba tena muda mrefu ila ikiwa ni shabiki yule ambae hujawai shuhudia ;unaweza kuhama na
ukawa fata upepo mzuri tu ktk safari yko ya ushabiki.
 
###KATAA KUWA KICHEKESHO, ARSENAL FAN NI KICHEKESHO NA UJINGA###

Nakazia.
 

 
kama ni shabiki uliewahi ishuhudia arsenal ikibeba kombe la EPL ;huwezi kuhama timu eti kisa lbda haijabeba tena muda mrefu ila ikiwa ni shabiki yule ambae hujawai shuhudia ;unaweza kuhama na
ukawa fata upepo mzuri tu ktk safari yko ya ushabiki.

Umeshuhudia arsenal kabeba kombe la epl mara ngap toka uwe arsenal fan? Umeanza kushabikia arsenal mwaka gani?
 

Hili timu limetesa sana watu.. daah brighton wamebutua kopo tukimbie kama kombolela lakini watu wanabakii
.. upande wa
huko wameshajinyonga kibaooo
 
Hili timu limetesa sana watu.. daah brighton wamebutua kopo tukimbie kama kombolela lakini watu wanabakii
.. upande wa
huko wameshajinyonga kibaooo
poleni sana aiseeeeee
Yaani timu lenyewe linaitwa AsiAnali faka halafu nyinyi mashabiki mmeshindwa hata kushtukia kua hamna timu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…