Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Toobiter kwenye moja na mbili[emoji106][emoji106]Eneo moja ambalo tutazungumza lugha moja ni kwenye eneo la usajili.
Tunahitaji watu haswa,
Saka anahitaji a very competitive RW wa kumchallenge na kumpumzisha baadhi ya mechi na kwa muono wangu anatakiwa awe technical na tactical traits ambazo ni tofauti na SAKA ili kumuoffer mwalimu chaguzi tofauti kulingana na mpinzani
False 9/link up play striker?
Kwangu ndiyo na hapana.kwa baadhi ya mechi kina jesus na style zao watakusaidia.ila kuna mechi unaweza ukatengeneza clear chance 2 tu out of 90 minutes na hapa ndo utagundua jesus na nketiah hawakuvushi.
Anahitajika striker ambaye ni killer,brutal,physical na more ni lethal.Epl haihitaji mchezo.barcelona hakuwa mjinga kumnunua lewandowsk na pep sio taahira kumnunua halland.
LB.huku hatuna mtu.zinchenko hapana,tierney prone injury. Atafutwe mtu katili ambaye kila winga atamuwazia.option iwe ni uwezo wa kulinda kwanza.
RB.huku tuna spare tyre.tomi injury prone,white hapana analazimisha na kwa mechi zenye presha unamuona anatera.slow pace hafai hapa japo anasaidia.Atafutwe mtu haswa aje akae hapo.
NAMBA SITA(lone six) jamani partey ni mtu ila tunahitaji mtu zaidi yake.anakupa flexibility,eagle eye kwenye pass,coverage kwenye safu ya ulinzi, anatawanya mipira na anakupa pass ya mwisho.Jamaa ni prone injury,aged kwa sasa,fatigue inamnyemelea kwa kutumika sana na kuna muda anapoteza tempo na hana ule ulatili wa asili wa namba sita.we need a BEAST.atatoka wapi? Kazi ya scouting hiyo.
NAMBA 8 CAM(driver)
Shaka anakupa matured mentality,shots and trios,physicallity,Ukatili,leadership and sometimes passes.Anakunyima pace kwa transitional teams,lacking flexibility,hana brain na traits za driver namba nane.jamaa ni old testament 8.mgumu mno.ATAFUTWE MTU HASA.
Anyway kama tunataka kuchukua makombe hakuna namna hela itoke waje watu hasa.usajili wa viraka hautatusaidia bora kutibu magonjwa yote kwa dirisha moja ili tupime uwezo wa kocha
Dah we love arsenal
kwel kabisaa...Ila nyinyi mlivyokuwa mnashinda humu?
Mkuu kwa arsenal hii sina ninachowadai
kuna matukio umenikumbusha hapo kati nimecheka sanaa..Trust me arsenal haina project yoyote !! Utasema arsenal wana project kama umeanza kushabikia arsenal 2017 kwenda juu lakini for me sioni project yoyote. Tatizo la arsenal halijawahi kutatuliwa kwa miaka zaidi ya 20
Nakumbuka kuna mwaka sijui mwaka gani hata carabao cup tulilikosa tulifungwa na Birmingham just imagine[emoji23][emoji23][emoji23], nakumbuka jack wilshere analiaa daah , kuna fainali na hull city tuliponea chupu chupu, ile game hull city alivyokua anaongoza niliamini kabisa arsenal itakuwa imelaaniwa even hull city anatufunga final ila tulishindwa kwa mbinde sana[emoji28] arsenal ni false hope haina project ni kudanganyana.
Tatizo la arsenal ni je inaweza kumaliza game 13 au 10 za mwisho in winning way ,kuna utofauti gani kati ya arsenal hii na ya 2016 Leicester anachukua ubingwa even pundits walisema game itakayoamua ubingwa ni arsenal vs Leicester city. Game tulishinda mwishoni kabisa kichwa cha welbeck tukawa na chance kubwa yakua champions tukacheza game iliyofuata na swansea just imagine tukafa 2:0 [emoji23][emoji23][emoji23] ilikua imebaki sisi na Leicester atakayeshinda mechi zake vizuriii ndo bingwa still tukachoma.
Kuna msimu tena ramsey alikua motooo mpaka december tunaongoza ligi as usual tukachoma
Unai kachukua villareal kashinda europa kwa arsenal alichoma , hii aston villa ikienda europa au conference itachukua ubingwa. Tatizo ni arsenal
Kwahio unahama club au sijakuelewaFor 20 years i have been an arsenal fan .. nan asiyetaka kuona timu yake inakuwa champion ni kiu ya kila shabiki na mchezaji thats why van persie, clichy, sagna na fabregas waliondoka arsenal na bado kuna wachezaji pia wataondola arsenal maana wanapoteza muda arsenal.. glory hunters[emoji23] so unataka for the rest of my life niwe disappointed man, football ni furaha na burudani la moyo lakini sio simanzii
Trust me mpaka 2028 Newcastle atakuwa kashaonja ladha ya furaha ya ubingwa wa epl lakini arsenal atakuwa bado hana chochote zaidi ya false hope to the fans.
Huwezi sema ni glory hunter nimeanza kushabikia arsenal nikiwa na miaka 8 tu standard one na game ya kwanza tulipoteza nakumbuka its was community shield kama sikoseiii against man utd but still nikaendelea kuwa shabiki wa arsenal. I have that hope for 20 years now nimegundua ilikuwa ni false hope miaka 20 inatosha !!! Arsenal are specialist in failure!!!!
Napoli wamebeba ubingwa wao wa Serie A mwaka huu baada ya miaka 33. Huoni kama miaka mingi ya kujaribu na kufeli ndiyo itaongeza furaha na thamani ya ubingwa siku Arsenal watakayoweka mikono yao kwenye taji la EPL.For 20 years i have been an arsenal fan .. nan asiyetaka kuona timu yake inakuwa champion ni kiu ya kila shabiki na mchezaji thats why van persie, clichy, sagna na fabregas waliondoka arsenal na bado kuna wachezaji pia wataondola arsenal maana wanapoteza muda arsenal.. glory hunters[emoji23] so unataka for the rest of my life niwe disappointed man, football ni furaha na burudani la moyo lakini sio simanzii
Trust me mpaka 2028 Newcastle atakuwa kashaonja ladha ya furaha ya ubingwa wa epl lakini arsenal atakuwa bado hana chochote zaidi ya false hope to the fans.
Huwezi sema ni glory hunter nimeanza kushabikia arsenal nikiwa na miaka 8 tu standard one na game ya kwanza tulipoteza nakumbuka its was community shield kama sikoseiii against man utd but still nikaendelea kuwa shabiki wa arsenal. I have that hope for 20 years now nimegundua ilikuwa ni false hope miaka 20 inatosha !!! Arsenal are specialist in failure!!!!
5: Martinez, Varane, Shaw, Casemiro, Bruno.Mkuu kwa analysis hiyohiyo we unahisi man u wachezaji wangapi wanastahili first eleven?
Sahihi,Mimi napenda mpira kwa ujumla wake ila naifuatilia Arsenal ndiyo maana nikiwa na nafasi naangalia mechi zote na ligi zote. Ukiwa hivi haitakusumbua kuona na kutarajia.
Kwa ligi ua Serie A Juve alipokonywa point 15 akashuka hadi nafasi ya 9 leo yupo nafasi ya pili. Sijisikii kuongeza ligi zingine lakini lakini point yangu ni kwamba kwa miaka yote timu za kariba ya Juve zinakua kwenye pressure na zinasurvive zina wachezaji wanaojua nini wafanye wanaojua umuhimu wa game hii au ile.
Arsenal ina wachezaji wawili wa hivyo Zinchenko na Jesus, hawa wengine wamekuzwa kisystem mno so system ikicollapse na wenyewe wameenda, wakati timu kama City, Juve, Bayern, system ikicollapse individual brilliance inawabeba.
Hao sasa ndiyo wachezaji wanaotakiwa kuja, wanaoweza kuwasha moto kila inapohitajika.
Nilikua nawaambia ndugu zangu wasiishikilie hoja ya bora hatupo FA au carabao au europa na city ana games nyingi kwakua kwa determined team kwa pale tulipokua muda tunacheza na sporting ilikua top four tuna uhakika nayo kwa 70% so ingekua logic kukomaa na Europa.
City ana tournaments nyingi ila ana kikosi. Watu wakawa wanatoa hoja mfu, na siyo hivyo tu ana kikosi chenye individual brilliance na yeye na kikosi chake wanaweza kudeal na pressure. Nafikiri pia udogo wa Arteta upo hapa kwenye kudeal na pressure tactically he is good ila huku kwingine ni anahitaji huu msimu na kikosi kipana zaidi.
[emoji23]Sawa mkuu tunasbr.Msimu ujao tulipoishia ndio tutakapo anzia
Sawa mkuu.. Sema mda mwngne huruma inaniingia kama binadamu natak walau mshinde chochote.Never say never
Uzoefu ukomavu wa akil sio watt.. Unakumbuka vzr kikosi cha Leicester ww kilivokua na watu kaz.. Wanaweza kukufunga 1 tu na goal ilo usirudishe wakadefend kama maisha yao Yana defend on it.. Uwe na watu who can get you over the line when you need it most.. Sio na watt wacheza Ps kama Arsenal.Unavyosema mchezaji kuwa matured una maana gani? Leicester city ilikua ina mchezaji gani matured?? Matured in terms of umri au uzoefu na ligi??
Ndo akili za arsenal hizi!!!! Sio kwa wachezaji mpaka mashabiki . Leicester city alitoka nafasi ya ngapi akawa bingwa !!!! Unajua kwanini Leicester alikua bingwa,waliokua wanamkimbiza walikua ni losers Arsenal & Tottenham!!!!
Leicester katoka nafasi ya 15 na akawa bingwa sembuse arsenal nafasi ya 8.
Ligi uongozee match 29 na uko 8 points ahead still game 9 then unashinda kuchukua ubingwa . Hatuongelei kuwa nafasi ya 8 tunaongelea mechi kubaki 8 na kushindwa kuchukua ubingwa. Arsenal fans wana matatizo ya akili bora mimi nimepona sasa[emoji23][emo
Ushabiki ndivyo ulivyo. Ingawa msimu huu kiukweli ubingwa ulikuwa nje nje. Kina Arteta na timu wamezingua sana nao wanajua hilo. Kwa shabiki ni sahihi kabisa kuona ubingwa upo toka October huko na kina Mkorea na Hamis walikuwa sahihi kabisa.Kumbe unaelewa ni project.. ambayo inachukua muda shida sasa Hamis alisahau hilo kaja kushabikia msimu huu ambao ni matokeo ya project za miaka ya nyuma..... kutwa kushinda kwenye uzi wa Manchester kuponda usajili wa Anthony🙄 wakati ndo kwanza mwaka wa kwanza..... mpaka akawa kero ukawa ushabiki maandazi mshinde mfungwee yeye yumo na nyinyi tuu sasa wacha tumalize hasira zetu na sisi kwake mtuvumilie tuu😂😂😂😂
Dah nimecheka sanaKumbe unaelewa ni project.. ambayo inachukua muda shida sasa Hamis alisahau hilo kaja kushabikia msimu huu ambao ni matokeo ya project za miaka ya nyuma..... kutwa kushinda kwenye uzi wa Manchester kuponda usajili wa Anthony🙄 wakati ndo kwanza mwaka wa kwanza..... mpaka akawa kero ukawa ushabiki maandazi mshinde mfungwee yeye yumo na nyinyi tuu sasa wacha tumalize hasira zetu na sisi kwake mtuvumilie tuu😂😂😂😂
Hizo point 15 za Juventus alirudishiwa ndio maana yupo pale nafasi ya 2Mimi napenda mpira kwa ujumla wake ila naifuatilia Arsenal ndiyo maana nikiwa na nafasi naangalia mechi zote na ligi zote. Ukiwa hivi haitakusumbua kuona na kutarajia.
Kwa ligi ua Serie A Juve alipokonywa point 15 akashuka hadi nafasi ya 9 leo yupo nafasi ya pili. Sijisikii kuongeza ligi zingine lakini lakini point yangu ni kwamba kwa miaka yote timu za kariba ya Juve zinakua kwenye pressure na zinasurvive zina wachezaji wanaojua nini wafanye wanaojua umuhimu wa game hii au ile.
Arsenal ina wachezaji wawili wa hivyo Zinchenko na Jesus, hawa wengine wamekuzwa kisystem mno so system ikicollapse na wenyewe wameenda, wakati timu kama City, Juve, Bayern, system ikicollapse individual brilliance inawabeba.
Hao sasa ndiyo wachezaji wanaotakiwa kuja, wanaoweza kuwasha moto kila inapohitajika.
Nilikua nawaambia ndugu zangu wasiishikilie hoja ya bora hatupo FA au carabao au europa na city ana games nyingi kwakua kwa determined team kwa pale tulipokua muda tunacheza na sporting ilikua top four tuna uhakika nayo kwa 70% so ingekua logic kukomaa na Europa.
City ana tournaments nyingi ila ana kikosi. Watu wakawa wanatoa hoja mfu, na siyo hivyo tu ana kikosi chenye individual brilliance na yeye na kikosi chake wanaweza kudeal na pressure. Nafikiri pia udogo wa Arteta upo hapa kwenye kudeal na pressure tactically he is good ila huku kwingine ni anahitaji huu msimu na kikosi kipana zaidi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwamba huyu hapa sasa.For 20 years i have been an arsenal fan .. nan asiyetaka kuona timu yake inakuwa champion ni kiu ya kila shabiki na mchezaji thats why van persie, clichy, sagna na fabregas waliondoka arsenal na bado kuna wachezaji pia wataondola arsenal maana wanapoteza muda arsenal.. glory hunters[emoji23] so unataka for the rest of my life niwe disappointed man, football ni furaha na burudani la moyo lakini sio simanzii
Trust me mpaka 2028 Newcastle atakuwa kashaonja ladha ya furaha ya ubingwa wa epl lakini arsenal atakuwa bado hana chochote zaidi ya false hope to the fans.
Huwezi sema ni glory hunter nimeanza kushabikia arsenal nikiwa na miaka 8 tu standard one na game ya kwanza tulipoteza nakumbuka its was community shield kama sikoseiii against man utd but still nikaendelea kuwa shabiki wa arsenal. I have that hope for 20 years now nimegundua ilikuwa ni false hope miaka 20 inatosha !!! Arsenal are specialist in failure!!!!
[emoji457]Eneo moja ambalo tutazungumza lugha moja ni kwenye eneo la usajili.
Tunahitaji watu haswa,
Saka anahitaji a very competitive RW wa kumchallenge na kumpumzisha baadhi ya mechi na kwa muono wangu anatakiwa awe technical na tactical traits ambazo ni tofauti na SAKA ili kumuoffer mwalimu chaguzi tofauti kulingana na mpinzani
False 9/link up play striker?
Kwangu ndiyo na hapana.kwa baadhi ya mechi kina jesus na style zao watakusaidia.ila kuna mechi unaweza ukatengeneza clear chance 2 tu out of 90 minutes na hapa ndo utagundua jesus na nketiah hawakuvushi.
Anahitajika striker ambaye ni killer,brutal,physical na more ni lethal.Epl haihitaji mchezo.barcelona hakuwa mjinga kumnunua lewandowsk na pep sio taahira kumnunua halland.
LB.huku hatuna mtu.zinchenko hapana,tierney prone injury. Atafutwe mtu katili ambaye kila winga atamuwazia.option iwe ni uwezo wa kulinda kwanza.
RB.huku tuna spare tyre.tomi injury prone,white hapana analazimisha na kwa mechi zenye presha unamuona anatera.slow pace hafai hapa japo anasaidia.Atafutwe mtu haswa aje akae hapo.
NAMBA SITA(lone six) jamani partey ni mtu ila tunahitaji mtu zaidi yake.anakupa flexibility,eagle eye kwenye pass,coverage kwenye safu ya ulinzi, anatawanya mipira na anakupa pass ya mwisho.Jamaa ni prone injury,aged kwa sasa,fatigue inamnyemelea kwa kutumika sana na kuna muda anapoteza tempo na hana ule ulatili wa asili wa namba sita.we need a BEAST.atatoka wapi? Kazi ya scouting hiyo.
NAMBA 8 CAM(driver)
Shaka anakupa matured mentality,shots and trios,physicallity,Ukatili,leadership and sometimes passes.Anakunyima pace kwa transitional teams,lacking flexibility,hana brain na traits za driver namba nane.jamaa ni old testament 8.mgumu mno.ATAFUTWE MTU HASA.
Anyway kama tunataka kuchukua makombe hakuna namna hela itoke waje watu hasa.usajili wa viraka hautatusaidia bora kutibu magonjwa yote kwa dirisha moja ili tupime uwezo wa kocha
Dah we love arsenal
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Labyrinth 84 hili timu limekutesa kwa miaka mingi sana Aisee, naona msimu huu umeamua rasmi kutoa nyongo zote safi sana Mkuu.Trust me arsenal haina project yoyote !! Utasema arsenal wana project kama umeanza kushabikia arsenal 2017 kwenda juu lakini for me sioni project yoyote. Tatizo la arsenal halijawahi kutatuliwa kwa miaka zaidi ya 20
Nakumbuka kuna mwaka sijui mwaka gani hata carabao cup tulilikosa tulifungwa na Birmingham just imagine[emoji23][emoji23][emoji23], nakumbuka jack wilshere analiaa daah , kuna fainali na hull city tuliponea chupu chupu, ile game hull city alivyokua anaongoza niliamini kabisa arsenal itakuwa imelaaniwa even hull city anatufunga final ila tulishindwa kwa mbinde sana[emoji28] arsenal ni false hope haina project ni kudanganyana.
Tatizo la arsenal ni je inaweza kumaliza game 13 au 10 za mwisho in winning way ,kuna utofauti gani kati ya arsenal hii na ya 2016 Leicester anachukua ubingwa even pundits walisema game itakayoamua ubingwa ni arsenal vs Leicester city. Game tulishinda mwishoni kabisa kichwa cha welbeck tukawa na chance kubwa yakua champions tukacheza game iliyofuata na swansea just imagine tukafa 2:0 [emoji23][emoji23][emoji23] ilikua imebaki sisi na Leicester atakayeshinda mechi zake vizuriii ndo bingwa still tukachoma.
Kuna msimu tena ramsey alikua motooo mpaka december tunaongoza ligi as usual tukachoma
Unai kachukua villareal kashinda europa kwa arsenal alichoma , hii aston villa ikienda europa au conference itachukua ubingwa. Tatizo ni arsenal
Siku na mwambi bwana hamis77 kuwa city kikosi chake kimeshiba Cha kwenye bench kuliko Arsenal akaanza kutoa maneno ya kejeri kikowapi Sasa.Mimi napenda mpira kwa ujumla wake ila naifuatilia Arsenal ndiyo maana nikiwa na nafasi naangalia mechi zote na ligi zote. Ukiwa hivi haitakusumbua kuona na kutarajia.