Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brighton first half walivyokua wana press toka golini wamefanya blunders kibao ila arsenal wakichukua mpira walikua hawafanyi cha maana wanakosa tu magoli na maamuzi ya kijinga!!!! Kuna tofauti kweli kati ya boys at work and men at work !!! Arsenal are boys and man city ni men at work surely!!!
 
I have been an arsenal fan for 20 years na nimeshuhudia haya
Chelsea kachukua epl 5 times, man utd 5 times , Liverpool and Leicester city kila moja mara moja just imagine even Leicester city win the damn title !!!
Man city ambao imeanza kuwa timu ya maana 2010 imenikuta as arsenal fan kwa miaka 7 empty hands now man city imechukua epl 7 times ukijumlisha na msimu huu.
This year tuko ahead 8 points na games zimebaki 8 still tumeshindwa kubeba ubingwa !! Arsenal is not a team ni epl jokers team .
Huko uefa tunaenda kushirikii tu tukijitahidi sana ni 16 bora then holla!!! Haina maana kuwa washiriki wa uefa
Nimeona watu wanalalamika “ ooh we need classic players and not average players” hata hao classic player hawaweziii kuja arsenal kwasababu ni average team and not world classic team, how can you find world classic players on loser team like arsenal???…. World classic player gan atakubali kuja arsenal timu isiyokuwa na mentality yakua bingwa hells no!!!!
Newcastle hii ambayo inaanza kujengwa itachukua epl na arsenal still itakua bado haijachukua
Fabregas kaondoka arsenal kaenda barca akarudii chelsea akachukua ubingwa , RVP kaenda man utd akachukua ubingwa , sagna na clichy wameondoka arsenal wakaenda man city wakachukua ubingwa . Halaand kazaliwa kakuta arsenal haina ubingwa now anachukua ubingwa na city
hapa unajiuliza unashabikia arsenal ili iweje mpira mzuriii eti , arsenal inaizidiii city kwa mpira mzuriii hapana kwa makombe labda ya 1990 kwenda chini hukoo.

For 20 years i have been an arsenal fan, its the right time to say im no longer an arsenal fan!!!!!!!!

SO LONG , AND THANKS FOR ALL THE FISH!!!!!
 
Umefanya uamuzi mzuri, muachie hilo tambala bovu ndugu hamis77 limuue.
 
Mtuhumiwa alikua mpiga kelele sana
 
Karibu city mkuu upate full burudni.Timu sio kabila kwamba huwezi badili. Nikiwaangalia mashabiki wa Arsenal nashimwa kuwaelewa ilikuaje kuaje mpaka mkaanza kushabikia timu kama Arsenal? Au ndo unbeaten ya mchongo iliwahadaa.
 
Inauma ila itabidi mvumilie 😂
 
Arsenal mmenikumbusha lile tangazo la malaria.

Mtoto anamuuliza baba'ake, ndege inapaaje angani, baba akaanza kujimumunya ety ni lazima uwe na afya bora 😂😂 kumbe mzee baba shingo yake imebeba pipa.

Sasa yule baba ndiyo Arsenal sasa.
 
mkorea wa arsepimbi ndoo Halaand kiatu akamatwe apewe mashtaka ya ulaghai pmoj na hamis77 .

DullyJr anajificha kwenye jukwaa la mapishi kama nguchiro humu anapaona pachungu.
Naunga mkono.. Wajinga wajinga wote waliowadanganya wenzao wote watiwe nguvuni iwe fundisho kwa wapuuz wote kuacha kupotosha Washika mitutu wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…