Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naumia kuona Mpaka hamis77 kakimbia jukwaa sababu ya hii timu kimeo Yani msimu mzima mmetoka bila hata kombe la kuuzia sura.

Poor arsenyani.
[emoji23][emoji23][emoji23] tena wakumbushe maana binaadamu tumeumbiwa kusahau, tarehe 1 ya mwezi ulioisha Arsenyau alikua anaongoza ligi kwa tofauti ya points 8 dhidi ya Mancity.
 
TAITO KUNI WHAT????

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cry more bruv
 
Simba ni kama aseno. Wamekuja kuzurura msimu mzima na wameondoka patupu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tena wakumbushe maana binaadamu tumeumbiwa kusahau, tarehe 1 ya mwezi ulioisha Arsenyau alikua anaongoza ligi kwa tofauti ya points 8 dhidi ya Mancity. View attachment 2620106

Hii ni kweli au macho yangu mmmh we are losers kama mambo yalikua hivi kweliii, maana nishasahau

Kesho arsenal fans tupo everton kwa dua na sala zote [emoji23]
 
Moderator nashauri hili Jukwaa wapewe hata mashabiki wa Namungo Fc maana mashabiki wote wa Arsenyau wamelikimbia Jukwaa lao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukuu wa Mungu umeendelea kujiziilisha Mpaka leo watu wote wako machimboni bado uzi mzito kweli kwao huu.
 
Carrasco putinn na Bachelor ll nawakumbusha tu lile chama lenu la tangia Utotoni Brighton & Hove Albion leo linapeleka msiba rasmi kwenye makaburi ya Emirates. View attachment 2621252
Kitu Arsenal walichotusaidia msimu huu ni kuwabaini mashabiki wake maana hii miaka ya karibuni walikuwa hawajulikani sasa PEPO Gardiola alijifanya kama halitaki vile ili mashabiki wake watoke mafichoni

JE BILA MBINU ZA PEPO Gardiola nan angejua Kuli hamis77 ni shabiki wa ARSENAL?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni kweli au macho yangu mmmh we are losers kama mambo yalikua hivi kweliii, maana nishasahau

Kesho arsenal fans tupo everton kwa dua na sala zote [emoji23]

Kama una bet mpe Everton. Hakuna mechi ngumu kama kukutana na timu ambayo inapambana isishuke daraja
 
Mzee huwa tupo sema tumekuwa tukikosa raha muda mrefu sana. Ila msimu huu umekuwa na afadhali si kama awali. Tumezingua kwenye kuchukua ubingwa ila kuna matumaini. Ndiyo maana Mimi simdai Arteta chochote Kwa sasa. Ameperform kuliko matarajio yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…