Arsenal (The Gunners) | Special Thread

#COYG = KONYAGI = Timu ya walevi

Tunaimani na Kwior

Nketia ni Halaand mweusi.

hamis77 ni Kibwetere mtupu kawsponza wenzake kwa kuwapa natumaini ya uwongo.
Huyu hamis77 ni Makenzi mtupu, alikua anawafungisha kima wenzie humu swaumu ya kifo, na mijamaa ilivyo mizoba ikawa inamuamini.
Huyo Kwiyo unaambiwa ndio mrithi wa Messi kwenye tuzo za Ballon d'Or.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…