Ishu ni kuchukua ubingwa na sio hizo mbwembwe, mmebaki kurudisha history nyuma lkn ubingwa msahau, kenge maji nyieView attachment 2606151
Hata kama tunamaliza ligi trophyless, hakuna Kuna kenge yeyote anayeweza kufanya hicho kitu
Tukupe na manyanga sasa uanze uganga,, project ndo kwanza ipo phase 3/5 alf unasema ndo basi tena? Haha"Sasa hivi sera imebadilka sio ile ya kuuza vipaji"
Sera imebadilika vipi wakati bado mna boss bahili anaewanyonya wachezaji?
Wewe unadhani huyo Saka, Martineli au Saliba wakihitajiwa Psg au Madrid kwa dau kubwa na kuahidiwa mshahara mnono wa zaidi ya £250,000 kwa wiki watakataa na kuendelea kubaki hapo kwenu kwa mshahara wa £70,000 kwa wiki?
Kubalini au kataeni msimu huu ulikua ni msimu bora zaidi kwenu (one season wonder) msitegemee msimu ujao mtakua bora kuliko msimu huu.
Njoen mjichanganye leo kama sio 4 basi ni 5Leo ni rasmi chelsea tunakwenda kumpa ubingwa Man City
Naitunza hiiSaa 24 zijazo, chelsea atakuwa anaongoza 2:0
Unatumia njia ya kututania Arsenal Kutangaza marangi yenu ya kupakuana mikundu.Ass'anal
Daah. Nilikuwa nawategemea mamiss wetu watuheshimishe maana wakipambana sana Germany
We mbona Mbwa jike kitambo tuArsenyeto mkishinda mniite mbwa jike
REJECTA MITANO TENA
Daaah! Toka Saliba aumie huko nyuma tumekuwa uchochoro sana!... Hii mechi ni muhimu tushinde Ili kurudisha winning mentalityJuzi juzi hapa nilisema katika games zilizobaki tunaihesabu na Chelsea siyo kwakua wapo vizuri ila kwakua ni derby na derby hua haitabiriki.
Games nne za mwisho zimeionyesha Arsenal isiyojua inataka nini kwa upande mwingine wenzetu katika games tano nyuma wameonyesha ubovu pia
Am simply saying theoretically hii mechi ni two clowns fighting but practically hii ni derby so lolote laweza tokea na yeyote aweza shinda. Arsenal anascore kudefend hawezi Chelsea defense inasumbua na scoring ina shida.
Tuna Holding wana Chalobah. Wana watu wana speed ila kuscore kidogo ni tatizo.
But for today's glory usishangae ukajikuta unacheza na prime Liverpool. Najua hatuna majeruhi, natarajia kikosi kile kile kilichobaki tukutane uwanjani.