Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Vipi kuhusu ubingwa?

Aliyepigwa saba ana kombe moja mpaka sasa, vipi wewe na mpira nyumbuliko una nini huko
kombe la kahawa unajua saba wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

watu wanachagua kwa mapenzi sio makombe ...Kufungwa ni kufungwa tu ndo maana wengin wanakufa kwa presha.!
 
Tatz la hawa wenzako wengi hawatak kusikia ukwl wakiambiwa ukwl wanaona wanaonea.. Wanakuja kudnaganywa na yule jamaa wao kua hii team ni tishio sana hakuna mfano na wao wanaingia kwny mfumo.
 
kombe la kahawa unajua saba wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

watu wanachagua kwa mapenzi sio makombe ...Kufungwa ni kufungwa tu ndo maana wengin wanakufa kwa presha.!
Unakubali kwanza kama msimu huu hauna kombe unalopata? Kisha tuendelee na mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…