Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyumbu ndio watu wanaoongoza kuteseka kwa Arsenal NDOO kukaa pale juu, wakifatiwa na Kenge fc

Nyumbu wamekuwa wajinga sana rasmi
Nyumbu wahasimu wao ni city, lakini ndio wanaombea city ashinde,
nadhani utakua umeelewa kwanini umekuja huu msemo "nyumbu ni wajinga sana"

Arsenal NDOO
Tupo phase ya pili ya team building, Kuna kitu kinaandaliwa kwa zaidi ya miaka 30 kusumbua pale EPL

NYUMBU MTAPATA TABU SANA
 
Wanaona tukichukua watadhalilika
 
Mechi ya ubingwa ndio hii,inanikumbusha goli la Sylivian Wiltold tunaenda kutangaza ubingwa pale pale Old trafford
 
Let the stronger team win, the best team always wins the league. Kama kweli tuko vizuri tuwagonge City tutangaze ubingwa kwa style, otherwise hatuna sababu za kuumia tukifungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…