Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwamba arsenyani mmekuwa wepesi kiasi hichi Yani Mpaka sasa mashuti yayiyo lenga lango lenu ni matano5.[emoji2960][emoji2960]
 
Wamekimbizwa vizuri Sana

Kipindi Cha pili tuwapelekee moto kiwango hiki hiki
 
Kwani tukipiga kamba 4, c tunachukua points 3?
Basi kaeni kwa kutulia
 
@Kinumbo unanifurahisha sana jinsi unavyozifariji hizi kima kwa maneno yako matamu yaliyojaa busara.


#Arsenyani Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
Kwa vita yenu Mashabiki wa Man Utd FC vs Arsenal FC, nasema muuane tu wala siamulii chochote maana nami napamba na hali yangu kuhusu Chelsea FC [emoji16][emoji2960]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…