Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaona mlivyo kichwan zimepungua, nyie mnamaliza nafas y pili mnatofaut gan na watakaomaliaza nafasi y 17.
Mtasema nafasi ya UEFA halafu mnaenda kufanya nini? Miaka kibao mlikua mnaenda kujamba jamba tu.
Kumbe atakayemaliza nafasi ya 17 na 2 wanafanana? Nilikuwa sijui boss
 

hizi ni false hope mkuu… city hana mechi ngumu. Tuhakikishe tunashinda vipi kama tunaanza mechi ndani ya dk30 tunaongoza 2 na bado tunachomolewa kibwege, tushinde ngapi ili zisiwe zinarudiii labda 5 nakuendelea ndo zisirudiii!!
Now hata tuongozee goli ngap hatuamini mpaka FT.
The title race is over baada ya draw ya jana haya mengine ni matumaini ya uongo.
 
Tukutane baada ya dakika 90 Mkuu
 
"OUR God Help US (Arsenal) not to fear the future but to boldly trust that you are in control when my emotions plunge me down, and when I am in despair. And times when I can't talk and don't know what to say, help me to “Be still, and know that you are God”. Be my comforter, my healer and bring me peace. In Jesus' name, Amen"

Our God imefikia hatua tumekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Unaona mlivyo kichwan zimepungua, nyie mnamaliza nafas y pili mnatofaut gan na watakaomaliaza nafasi y 17.
Mtasema nafasi ya UEFA halafu mnaenda kufanya nini? Miaka kibao mlikua mnaenda kujamba jamba tu.
Hizi kima huko Uefa zinaenda kutia aibu tu, maana mapema zinafurushwa, zinachomolewa kwenye hatua ya awali ya makundi na kurudishwa kwenye ligi yao ya futuhi(Europa)
Yaani hio nafasi ya Uefa imepotea bure kwa hizi kima, ni bora mara elfu angeshiriki chelsea, Liverpool au Brighton lakini sio hizi kima za one season wonder.



#Arsenyani kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
 
Sasa hivi kila timu inatamani ingekutana na arsenal ijiokotee point za bwerere.

Taarifa nilizozipata kutoka kambi ya soton ni kwamba wanafuraha sana wanaenda kukutana na arsenyani maana wana uhakika wa angalau point moja kama sio 3 na hii ni muhimu katika vita yao ya relegation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…