Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta naona anataka tuzingatie epl, yasije ya Liverpool mwaka jana
Hii ndio ilikuwa trophy
ya uhakika huko EPL ni mtihani mzito
mamanina Arsenal bora hata mgecheza saa 3 kasoro tutafute usingizi sasa hivi usingizi unatoka wapi tena?
Itakuwa ni laana kwa Arsenal ya season hii kwenda trophy less abadani na ninaona season hii tukiqualify champions league but no trophy ohh my God
 
Hii ndio ilikuwa trophy
ya uhakika huko EPL ni mtihani mzito
mamanina Arsenal bora hata mgecheza saa 3 kasoro tutafute usingizi sasa hivi usingizi unatoka wapi tena?
hua hakuna usingizi uliochanganyika maumivu na hasira, we jiandae kukesha tu, utalala asubuhi wenzako tukiamka.
 
Kichekesho ni atatolea shabiki atakuambia "Bora tumetoka ili tufocus na ligi"

Kumbukumbu zangu zinaniambia tangu Aaron aje Arsenal hajawahi daka penati hata moja. Kama unaikumbuka ya Fernandes, Fernandes alitoa nje huku Aaron akiwa kaenda upande mwingine.

Kwa timu ambayo ina hamu ya kushindana na timu za nje ya Uingereza benchi letu ni la hovyo, kuna wachezaji hata kama tunawapenda vipi inabidi waende. Juzi dhidi ya Fulham nilisema Vieira siyo physical game ya hivyo inamsumbua kuna kiazi kikataka kuanzisha ubishi.

Na kuna wale mashabiki wana ile "We will try again next time" kiukweli hapana ifike muda tujue muda gani wa kukomaa na muda gani wa kusema hapa itabidi nisubiri.
 
Tuna imani na Arteta, M Arteta mikumi tena


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mashabik wenu wengne wanaona lbd ndo vzr.. Sio vzr hata kdg ukiwa unafukuza na Pep na city kwny ligi tena gape lenyw point 5.

Arsenal msimu huu mkienda bila kikombe asee mtakua ni wazembe sana tena sana, Yan bora kocha na wachezaj wajue wanatkiwa kufia uwanjan kwny ligi wawape washabik wao walau furaha msimu huu.. Hype yote hii mkienda kapa maneno ya wapinzan mtajuta.
 
Hii ndiyo Arse8 tunayoijua sasa sisi Mashabiki kindaki ndaki toka Mchambawima Zanzibar kwa Rashid Makame (RashFord)


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…