Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Hahaha ninaipenda arsenal lakini wewe umenizidi, I guess Arsenal comes into your dreams very often.
 
GOAL.com imeambiwa kwamba (Saa) ni sehemu ya mpango mpana zaidi wa Arteta wa kufanya vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa ugenini wahisi kama vya nyumbani. Jumapili ilikuwa mara ya Kwanza kutumika na ndiyo maana wachezaji walitaka kupiga nayo picha.


@charles_watts
wa Goal.com
 
Imagine double 8 ya Odegaard na huyu Savic

Jamaa anajua kufunga na kuassist

Naona mikakati msimu ujao eneo la xhaka ni kuzalisha magoli

Arsenal ready to take steps to sign Milinkovic Savic. Lazio want 50m euros. Player agent trying to get it done for 35-40m euros.

(@Gazzetta_it
)
 
Arsenal technical director Edu:

"People were making jokes about our process. I think we were quite clear about all the steps and what we went through.

We knew we were going to go through some challenging periods because we had to make some unpopular decisions."

[Standard
 
Kuna mdau wa manjesta alikuwa anasema city msimu huu kashuka , nilimshangaa Sana

Kwa hizo data kashuka yes
Mwaka huu mechi 27 points 61
Mwaka jana mechi 27 points 66
Kashuka points 5
Mwaka juzi mechi 27 points 62
Kashuka point 1
 
Arteta:

"You need players that have the experience in the Premier League and they’ve done it here, so in terms of adaption the process it is much quicker."


“But as well they (Liverpool) bought players with European experience, playing in big national teams with big responsibilities - and, don’t forget, for a big amount of money as well.”
 
Kwa hizo data kashuka yes
Mwaka huu mechi 27 points 61
Mwaka jana mechi 27 points 66
Kashuka points 5
Mwaka juzi mechi 27 points 62
Kashuka point 1
Hapo inaonesha Range yake ni hiyo hiyo , kushuka ingekuwa Kama kilichomtokea Liverpool au apotee kwa point 10

Lakin standards zake unaona ni average ya points 55 kila msimu
 
Hapo inaonesha Range yake ni hiyo hiyo , kushuka ingekuwa Kama kilichomtokea Liverpool au apotee kwa point 10

Lakin standards zake unaona ni average ya points 55 kila msimu

Angekua na points 66 angeongoza league kwa goals df dhidi ya Arsenal’s amateur team.
Yes kashuka
 
Kwa hizo data kashuka yes
Mwaka huu mechi 27 points 61
Mwaka jana mechi 27 points 66
Kashuka points 5
Mwaka juzi mechi 27 points 62
Kashuka point 1
Kuna hoja kwamba arsenal yupo juu sababu ya ubovu wa Chelsea man u na Liverpool, swali nililouliza kipindi hizo timu sio mbovu walifikia idadi ya points ambazo zimekusanywa na arsenal msimu huu kwa mechi 27?
 
Arsenal director Edu: "I know there’s lots to do. I think we are in the middle of the process, there’s still a lot of things to do. But we are very happy and proud to see where we are at the moment as club", told Sky
#AFC

"Trossard? We're really happy with him", he added.
 
Which front three would you like to see when Arsenal plays!?


A. Trossard - Jesus - Saka
B. Martinelli - Trossard - Saka
C. Martinelli - Jesus - Saka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…