Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Trossad jana kuna pasi ali mpa xhaka daaah
ilikuwa goal la 4

Kwenye mfumo wa 4-3-3 wenye double 8 ,unatoa nafasi kwa front 3 na hawa namba 8 wawili kufunga Sana na kutengeneza Sana mabao

Ile front 3 pamoja na Jesus aliyekuwa injury wamechangia kila mmoja Goli 10+

Xhaka angekuwa makin angetoka msimu huu na Goli 7-10

Fabio Vieira ambaye anatokea bench kachangia Goli 8

Arsenal Wana mpango wa kumchezesha Smith Rowe na Vieira eneo Hilo analocheza Xhaka ,lakini pia Kuna tetes za Ikay Gundogan kuja msimu ujao
 
Hahaha Labda martinel yule wa baada ta Jesus kuumia, ila Martinel huyu wa Baada ya Trossad kuja hapana hatakiwi kukaa benchi,, yana kuna game zinazokuja watakipiga wote watatu
Mana kule juu c unaona jesus saka kati ya martinel na trossad unafkil kwa moto anao anao uwasha trossad nani anastahil kuanza
 
Umemsikiliza Arteta jana ? Kasema alisha ongea na Jesus hilo swala anatakiwa apiganie nafasi kama wengine .
Hiyo amesema tu kama excuse akimaanisha hawezi kuanza kwa mechi ijayo kama mashabiki wanavyotegemea.

It's obvious mchezaji akitoka kwenye injury hawezi rudi moja kwa moja kwenye 1st elevent, anapewa game time kidogo kidogo ili a catch-up na wenzie.

Probably tunaweza kumuona Jesus kwenye 1st eleven baada ya international break.
 
Time will tell, Maana madogo wako moto tofauti na alivotuacha.
 
Arsene Wenger "Football should be an Art "




Match Ya jana Fulham vs Arsenal Ndio ilitupa tafsiri kwanini team nyingi zikicheza na sisi zinapaki Bus

karibu dakika 8 za mwanzo Fulham walijitahidi kutupress na kushambulia kufunguka ili ndio kosa lao kubwa

Arsenal anacheza kwa Pattern ( Muundo ) ambao unajirudia kila siku kuanzia mikimbio wa wachezaji hadi nafasi ( Positioning) ukitaka kumpress Arsenal hakikisha huachi gape lolote

Arsenal ana press Resistance players Zinchenko , Partey , ambao uchezaji wao unaanza chini kabisa

Fulham ndipo wakaja kuadhibiwa sababu walifunguka Kutoa Gapes ambazo wachezaji Arsenal hawakutumia Nguvu nyingi Kufunga magoal kumbe ukitaka cheza toe to toe na Arsenal hii jipange



Wachezaji wanakimbia nafasi zile zile muda ule ule hii sio ilimradi ni kazi kocha kwahyo ambae anasema ni haoni kazi kocha anakosea mno

Leoandro Trossad anatoka na assits 3 anaingia Jesus


Amigo adios hermanos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…