Arsenal (The Gunners) | Special Thread

yaani hii Arsenal tatizo ni mabeki....hatuna kabisa watu pale nyuma....huwa wanacheza vzr kwenye game za kukamia......3-1...Hatuna uwezo wa kusaka hata sare.....Upuuzi mtupu.....

Beki ya Wenger hio mkuu nakujifanya mbishi kuto sajili january ndio kimemponza.
 
yaani hii Arsenal tatizo ni mabeki....hatuna kabisa watu pale nyuma....huwa wanacheza vzr kwenye game za kukamia......3-1...Hatuna uwezo wa kusaka hata sare.....Upuuzi mtupu.....

Alafu mbaya zaidi tuna drop pint na vitimu vidogo vidogo
 
hawa wachezaji bwana watakuwa wamechukua hela ili wafungwe..haiwezekani yaani wamelegea kama mautumbo ya bata bana

Beki yetu mbovu sana , kila tukifunga goli siku hizi na wao wanaenda kulala tunatunguliwa. Hakuna kiongozi pale nyuma wakuwafokea wenzake.
 
Poleni wakuu naona leo imelala kwenu,so now tuamie kwenye jukwaa lile ili mtupe support please....
 
Timu yetu imepoteza heshima siku hizi, watu wala hawaogopi kila mtu anajua game letu na kwamba uwezo wa kutufunga wanao.
 
habari chanero! kwani imekuaje wajemeni mi sikuwepo tujulisheni matokeo wajemeni
 
Siku Wenger alivyotangaza kwamba yuko powa na nafasi ya pili ndio siku matumaini yangu yaliishia na sasa naona soon atasema nafasi ya tatu powa tu.

Poleni gunners wenzangu tusubiri kujivua magamba summer.
 
Reactions: Mbu
If you are arsenalfc fan make sure umepata kikombe cha loliondo maana utakufa kwa presha..:third:
 
Siku Wenger alivyotangaza kwamba yuko powa na nafasi ya pili ndio siku matumaini yangu yaliishia na sasa naona soon atasema nafasi ya tatu powa tu.

Poleni gunners wenzangu tusubiri kujivua magamba summer.

...duhh, wenzangu bado mlikuwa na mioyo ya ujasiri! ...mimi nilishachukua likizo na mapeeema.
Hapa hakuna matumaini labda msimu ujao uanze.
Hilo la nafasi ya tatu keshalitamka...;
 
Mbu,, Michelle, AW, Quest, Bltnd, Wacha Moja, BBK et al nyie nyooooooooote n ndugu zangu na EPL na moja...tuungane katika kumwangamiza yule hausigeli (Unicef)...natanguliza shukran zangu za dhati.
 
...duhh, wenzangu bado mlikuwa na mioyo ya ujasiri! ...mimi nilishachukua likizo na mapeeema.
Hapa hakuna matumaini labda msimu ujao uanze.
Hilo la nafasi ya tatu keshalitamka...;

Hukuipata hii habari ziliisha leak tangu last week baada ya Manure kukung'utwa, bahasha nene zilisambazwa ili kuona Manure wanashinda ili kuwapa nguvu kwenye CL ambayo watacheza nyumbani. Kwa hiyo usishangae vijana walivyo-react pale kwa Stoke .... .. ...... ..
 
...duhh, wenzangu bado mlikuwa na mioyo ya ujasiri! ...mimi nilishachukua likizo na mapeeema.
Hapa hakuna matumaini labda msimu ujao uanze.
Hilo la nafasi ya tatu keshalitamka...;

Mzee noma sana,sema ana roho ngumu kweli lol.
 
Lol poleni, ila wenyewe mlijua kuwa kwa Stoke msingechomoka lol.. Fulham wanawapa draw lol...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…