Game plan ya bornamouth ndio hiyo hiyo tunaitumia tukikutana na manjestaYani nyie "kichwa cha mwendawazimu" ndiyo mnataka mkutane na United?
Kwanza mna uhakika hatua hii mtavuka!? HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!!!
#MrenoMweusi
NYIE KUNGUNI, NDIO PERFORRMANCE YENU.....KENGE NYIELeo performance ni below average
Hata wangeshinda , Emirates hawa watapigwa nyingiTuna shida nalo hili kombe, naona target ilikua sare kwa leo ila tumecheza chini ya kiwango
Mkuu Acha kujifariji Arteta analitaka sana hili kombe tena ni very important sababu Arsenal ina lack makombe kama haya ya European ChampionsKombe la mbuzi hili hatulitaki
MSHONO wa SABA haujakauka MACHOKO nyie halafu unaleta KUNDU lako humu,khaaaaNyie mbuzi...ngoja Rashford awafunze kucheza EuropaView attachment 2543640
Arsenal alikuwa away subiri next week tukiwa home na sisiNyie mbuzi...ngoja Rashford awafunze kucheza EuropaView attachment 2543640
Ngapi ngapi huko?😂Nyie mbuzi...ngoja Rashford awafunze kucheza EuropaView attachment 2543640
Hawa Home watakula nyingiMkuu Acha kujifariji Arteta analitaka sana hili kombe tena ni very important sababu Arsenal ina lack makombe kama haya ya European Championshili kombe halitakiwi litupite kwa sasa
KENGEEEEEEEEEEEEEEEEE nyamanolokwetuMSHONO wa SABA haujakauka MACHOKO nyie halafu unaleta KUNDU lako humu,khaaaa
Wewe dada mla mayai toka Nyamanoro una mdomo mchafu sanaMSHONO wa SABA haujakauka MACHOKO nyie halafu unaleta KUNDU lako humu,khaaaa
Mjinga huyo hata ID yake imekosewa. Mtu asiyejua tofauti ya 'L' na 'R' namuweka daraja la chini huko.Wewe dada mla mayai toka Nyamanoro una mdomo mchafu sana
Nyie mlishakula 7 tulieni banaSoma hapoo nyau wewe Montserrat View attachment 2543692
Et alikuwa anasema i will build my team around Pobga yaani mzungu wa ajabu sana yule. Lichezaji lilikuwa linamchomesha kwenye mechi muhimu yeye akawa analikumbatia.Ole power aliikataa hata kabla ya Ronaldo kuja.
Jinsi alivyokua anamtreat Pogba et al unaona kabisa hapa kocha hakuna.
Huyu atakuwa wa NyamazobeWewe dada mla mayai toka Nyamanoro una mdomo mchafu sana