Mimi na mtizamo tofauti kwa ten hag kupigwa na liva sioni Kama problem Kuna kitu naona anakileta pale man u akitulia kwenye usajili akapata watu basi itakua shida still Kuna vitu atafanya tena vikubwa kwahio mashabiki wa man u wakae kwa kutulia Yale fukuza haita wasadia atlist amalize misim hata mi5