Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi nina expectations kubwa na Ten Hag he will get you somewhere. Tumpe muda
Kwa uzoefu wangu mm Ten hagg hajafikia bado expectation alizoonesha ole , with medium bajeti alifika nafasi ya 2, ya 3, alifika level ambayo alihitaji kuaminiwa na kupewa msaada Cha ajabu wakamuingilia kumleta Ronaldo ambaye hakumtaka wakamvurugia mipango
 
Mazingira aliyokutana nayo Arteta au Klopp huwez ku compare na aliyokutana nayo Ten hagg

Arteta alirithi kikosi kibovu na alibidi kuwafukuza baadhi na kuwatengeneza wakutoka academy

Arteta alifika Arsenal ambayo big names hawataki kuja scenario ambayo Klopp alikutana nayo Liverpool

Ten hag kafika na bado ameweza kumpata mtu Kama casemiro

Bajeti ya Kwanza ya Arteta Arsenal alipewa £70m , Ten hag £211m

Hiki chini ni kikosi alichokuta Arteta ,
 
Sijaona timu ya kuizuia Arsenal mpaka sasa labda wapate majeruhi kama kawaida yao miaka yote

Potter mitano tena

Tuna imani FSG mitano

7Hag ni kanjanja

kwa jamaa wa ikuru nikachukue connection ya JW (hii naenda kumpa mdogo wake na mzazi mwenzangu)
 
Huyo kocha ni dalali wa Ajax
 
Wanamuonea wivu Genius 10 hag
 
Mkuu Mimi nawewe saizi kubishana nimeona Muda uwe muamuzi wetu.

Tuangalie misimu miwili hafu tuje hapa kubishana hapa kama ten hag ni kanjanja au ni kocha.
 
Umeisahau Bolton wanderers hapo
 
Nafurahi tunaelewana.
What happened to Newcastle and blackburn?
Mfano rahisi wenzetu Chelsea wanahangaika toka kuondoka kwa Mrusi.? How long will their situation last?
( Mimi na wewe hatujui. )
Pesa inahitajiki tena sana ndio maana hata Man U wanaombea mpate mQatar kama owner mpya. But that doesn't gurante silverwares.

Arsenal tried splashing cash tukaishia kumpata Pepe and spending wasn't our culture, tukajifunza sasa unaona hata tunavokuwa makini kutoa ada kubwa and it's paying off.

Na ndiyo maana hamis77 ameongea point, mkiingia mkenge wa kununua nunua kisa pesa ipo, mtaishia na akina Maguire wapya, kitu ambacho sio solution bali mnaongeza future problems.
Best coaches wenyewe ndiyo wanaishia ..
 
Jamaa wa Ikulu mbona miyeyusho sana
 
I get your point brother.
Ten hag naona agaramua kiti kwani naona ni mtu amanye yuko very strictly na performance kwa ujumla, hana kupepesa macho (kwa maono yangu kama hato badilika).

Suala la usajili nakuunga mkono maana huwa nawaambia hata watu wanijuao hata huyo Martinez ilikuwa ni Arsenal wanataka jamaa akadandia, sidhani hata kama alikuwa katika mawazo yake.
Ila hili sitilii maanani sana he had a short time to build up a squad only 2 windows mpaka sasa ngoja tuone.
 
Mkuu Mimi nawewe saizi kubishana nimeona Muda uwe muamuzi wetu.

Tuangalie misimu miwili hafu tuje hapa kubishana hapa kama ten hag ni kanjanja au ni kocha.
Tunaelimishana, maana mifano ipo mingi ,kwangu Mimi ole ndiye alikuwa na clear plan ,tatizo lilikuja alipoingiliwa kwenye sajili e.g cr7
 
Arteta: akijibu juu ya kutakiwa Madrid na Mchezo wa Leo vs Sporting Lisbon#UEL


"Kipaumbele chetu msimu huu ni makombe mawili na Europa League ni moja ya mashindano tuliyoyapa kipaumbele na tuko serious na Kombe hili"

"Ninafuraha kubwa sana kuwa Arsenal, na ninaiangalia zaidi Arsenal na sio vinginevyo"

 
Hata Ole alikua miyeyusho

Ole alimsajili Ighalo, Pellistri, Telles wawili hapo hawakupata namba na mmoja nikawa nashangaa anapataje namba.

Sawa sawa na Erik, Weghorst sioni kama ni ST ambaye wote mtakaa mnasema atatupindulia matokeo.

Isipokua Erik kwenye decision making yupo firm, ana jeuri kumzidi Ole. Kimbinu anamzidi Ole ila hajaonyesha anatamani timu ichezeje, bado anatumia counter kama suluhisho la matatizo hata kwa midtable teams
 
4-3-3


Arsenal XI v Sporting: Turner, White, Saliba, Kiwior, Zinchenko, Jorginho, Vieira, Xhaka, Nelson, Saka Martinelli.



Arsenal subs: Ramsdale, Hillson, Partey, Gabriel, Smith Rowe, Holding, Tomiyasu, Bandeira, Sagoe Jr, Smith, Walters.



According to Chris Wheatley
 
Ole alinyimwa Power ,ndio maana usajili Kama wa cr7 hakuafiki,na ndipo mambo yalianza kumuharibikia hapo

7 hag wamempa hiyo nguvu ndio maana kaweza hata kumgusa cr7
 
Gabriel Jesus did not travel to Portugal. Odegaard and Tierney are unwell

(@kayakaynak97 )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…