ngoja niseme ninavyojuaAM ni general, anaweza kutokea pembeni kama winga hasa zile formations ambazo hazitumii winga ndio wale wa pembeni wanaitwa AM. CF anaweza kuwa AM lakini sio kila AM ni CF. Jina zuri la CF ni CAM
CF kama neno linavyosema lazima atokee katikati
Mfano kwenye 4-2-3-1 ambayo Potter anaitumia sana CF ni Felix ambaye anatokea katikatiu kuwalisha mipira hasa no. 9 ikishindikana anawapa mipira winga ili attack itokee pembeni
Its Next Impossible...My Guy EsR is there to conquer
Wew hyo habari umeitoa wapi??Ningependa hata mimi aendelee kuwepo lakini nahisi club imeangalia his injury records
Injury records zake zipoje chief? Unaweza kunisaidiaNingependa hata mimi aendelee kuwepo lakini nahisi club imeangalia his injury records
Xhaka aanzie bench!!Lineup ya leo huenda ikawa hivi
Gorginho ataanzia benchi ,Arteta anasema alikuwa ana umwa ila Sasa yupo vizuri
Tutegemee kumuona Partey
Prediction
Arsenal 5 bornamouth 0View attachment 2536640
BBC hao.Wew hyo habari umeitoa wapi??
Wew hyo habari umeitoa wapi??
Gossip tayari mkuu....in football transer ana aminika Fabrizio onlyNenda bbc.co.uk/ sports/ football halafu nenda kwenye gossip
Umechanganya mafailingoja niseme ninavyojua
AM ni Attacking Mid, hata ukimuita Central Attacking Mid bado unammaanisha huyu huyu.
Mid anayetokea pembeni zamani walikua ni LM (Left Mid) na RM (Right Mid) hawa kwa kawaida hua na speed na mpira wa sasa umewaconvert, wengi wamekua mabeki mfano Davies, wengine Wingers mfano Grealish na wengine AM mfano Emile.
CF ni mchezaji ambaye atacheza role ya False 9 kwenye 4 3 3, they are great with ball, power, skills na accuracy mfano Benzema, Balogun na Jesus. Wakati ST yeye ni pale tu kwenye boksi hajisumbui kurudi juu huyu hata kucheza naye 1,2 ni mtihani na hawako vizuri kwenye passing mfano Haalanda, Nketiah.
Pia kuna SS (Second Striker) kwakua ST strength yake kubwa ni kuscore SS kazi yake inakua kudraw out defense na kumpa nafasi ST ya kuscore.
Logically sioni ni kivipi Centre Forward awe Attacking Midfielder ingawa CF anaweze shuka kwenye line ya AM na kusaidia mashambulizi bado sidhani kama ni sawa CF kua AM 100%
Kwa mfano SS ili awepo inabidi formation iwe na Attackers 2 yaani formation iwe 4 4 2 au 4 3 1 2 au 3 4 1 2Umechanganya mafaili
kwa CF ni strickly mchezaji anaye feed mipira kwa strikers, lazima awe nyuma ya striker. Kutegemeana na filosofia ya kocha na mfumo anaoutumia, false no. 9 anaweza kuwa CF, CAM anaweza kuwa CF ila Striker a big no. CF anakuwa versatile na kucheza deep zaidi ya striker ambaye yeye anakuwa golini kusubiri mipira amalize kazi ya kuweka kim iani.
Kwa Second striker kuna natural na acting, wachezaji wote wanaokaa nyuma ya striker akiwemo CF ni wana act kwenye nafasi ya second striker ila kama tunazungumzia formation zenye striker wawili basi mmoja ni striker OG na mwingine ni second striker na sio acting
Kwenye AM unaweza ukawa sawa japo nako kuna consfusion. Kwa formations nyingi wale mid wa pembeni wanashambulia na kudefend kama wanavyofanya wing-backs.
Tatizo kubwa kwenye haya majina hakuna harmonization, kila kundi likiibuka na definition yake, sio tu kwenye CF hata kwenye position zingine.
Mfano ukienda Wikipedia wametoa tafsiri za ajabu ajabu kwenye hizi nafasi mbalimbali za kwenye soka, wao wanamuita Foward kama Striker wakati Foward ni mchezaji yeyopte aliye kwenye idara ya ushambuliaji wakiwemo wingers, strikers mwenyewe na mid wa kushambulia, wote hao wanaitwa Forwads.
Hizi referneces zitasaidia sana kuwatofautisha
Striker (ST) vs Centre Forward (CF) - What's The Difference? - Football Handbook
You may have encountered the terms Striker (ST) and Center Forward (CF) before when watching football. Or maybe, you may have seen these when playing FIFA.footballhandbook.com Soccer 101: The Positions Within Positions | Orlando City
Soccer 101: The Positions Within Positionswww.orlandocitysc.com | Your Soccer Home
The difference between positions on a soccer field can be confusing. None more so than the difference between a forward and a striker. If you…yoursoccerhome.com What is the difference between a Center Forward (CF) and Striker (ST) , Is it based only on the formation?
Answer (1 of 14): These are two different roles of a attacker and based on tactics more than formation as tactics makes formations.. A st usually play between the defenders or on level with opponent defence line..basic job is to finish the move in to back of the net..very little involvement in ga...www.quora.com
Kumbuka sio kila formation ina kila nafasi, kuna nafasi zingine zinapotea kulingana na formation na falsafa kocha anayotumiaKwa mfano SS ili awepo inabidi formation iwe na Attackers 2 yaani formation iwe 4 4 2 au 4 3 1 2 au 3 4 1 2
Kwa hizi formations za 4 3 1 2 na 3 4 1 2 hii 1 ndiyo AM na hiyo 2 atakuepo ST na SS, tukifuatisha hoja yako yaani hapo ni unamaanisha hiyo 1 iwe CF halafu hiyo 2 ndiyo awe ST na SS.
Ukisema kila mchezaji anayekaa nyuma ya ST awe SS this means kwenye 4 3 1 2 au 3 4 1 2 hii 1 naye ni SS in such a case hapo AM atakaa wapi? Na hapo hapo una ile hoja uliyosema CF ni AM.
Huoni kama tukitumia hoja yako kuna mchanganyo hapo?
Gossip tayari mkuu....in football transer ana aminika Fabrizio only
Lazima ukimbie huu uziWewe haupo sawa kichwani ,najua ARV zina side effects kubwa
Huwa nawashangaa Sana wanaohangaikaga kukujibu wewe ,
Unajionaga upo sahihi ila kwa jicho la 3 tunajua tatizo Nini
Mimi naacha kukujibu na wewe naomba usini qoute