Sijui km umeelewa nilichoandikaTusimpe sifa nyingi Martinelli ana mengi pia ya kurekebisha hususani akiwa pembeni
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Ha haaaaa na kweli aje aongezeNjoo uongeze list...hizo tushamaliza
Wanasahau mancity msimu huu hawezi kushinda mechi 3 mfululizoPorojo hizi
Mna kariri sana,Arsenal awepo Partey City anafungwa Itihad
Arsenal ni team bora kabisa msimu huu tena by far sio hata close
Mechi ile Partey ndani ku neutralize attacks za City kisha kumsogezea Saka aondoke nao hawa City wangelala tu
Partey is Arsenal and Arsenal is Partey
City msimu huu Hana ubavu wakwenda mechi 3 mfululizo anashindaCity lazma adondoshe points
Ile mechi mbona magoli ni sisi wenyewe tuliyagawa?Porojo hizi
Mna kariri sana,Arsenal awepo Partey City anafungwa Itihad
Arsenal ni team bora kabisa msimu huu tena by far sio hata close
Mechi ile Partey ndani ku neutralize attacks za City kisha kumsogezea Saka aondoke nao hawa City wangelala tu
Partey is Arsenal and Arsenal is Partey
Ile mechi tulijimaliza wenyeweIle mechi mbona magoli ni sisi wenyewe tuliyagawa?
Tomiyasu karudisha nyuma mpira ukamkuta De Bruyne.
Magalhaes katoa pasi hovyo.
Yaani hata pengo la Partey halikuonekana kwakua City ilikua imekaa inasubiri tukosee na tukakosea kweli.
Arteta ana nywele nyeusi sn, sio km Ten hag na Pep.Kuna Code ukipiga lazima upendeze tu View attachment 2536157
Kaka hamis77 shikilia humo humo. Wapinzani wakipita humu wanaumia sana jinsi tunavyoipamba Arsenal yetu.Kuna Code ukipiga lazima upendeze tu View attachment 2536157
Hao sio tu hawana nywele nyeusi, hao hawana nywele kabisa..Arteta ana nywele nyeusi sn, sio km Ten hag na Pep.