Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwenye UShabiki haupaswi kutulia mkuu. Ukipata nafasi ya kufurahi na kujidai, itumie tu maana hujui vipigo vitakuja lini. Waone Liverpool na Chelsea walivyo hivi Sasa. Liverpool wameanza kupiga na wao so mashabiki Lazima waitumie hii fursa
 
Ila mpira bwana

Madrid kampiga Liva 5.

United kampiga Barca 2.

Barca kaenda mpiga Madrid 1 tu akawa anasubiri counter na kupiga low block.

Mechi ilikua inaonyesha kama vile Madrid anashinda sasa hivi ila ile low block ilikua nene
 
Unaangalia mpira kweli bro??
Timu inacheza low block unataka ufanye kipi kingine zaid ya individual kama alichofanya Zinny kwenye bao la Saka?
na ndio maana nilisema arteta must find a good solution.. na harka sna kipindi cha pili akamtoa jorginho na kumuingiza partey.

kipindi cha kwanza hatukucheza vizuri ilo liko wazi na hta kocha w everton kalisema ilo.. tulionesha ubora we2 kipindi cha pili.
 
Pep kwenye hizi mechi mbili lazima adondoshe point tupo hapa, Newcastle wakimkosa, mechi inayofuata Crystal palace hawawezi kumuacha, Viera legend kabisa.
Hizo anashinda zote pep nakwambia saiv city wanampango kazi na msako wao sio wa kitoto kama ni mkamaria tembea na pep guardiola kipindi hiki anaweza shinda straight 10 games tena ushindi mkubwa tupambane wanaarsenal tushinde mechi zetu tusiwe kwenye pressure mapema najarb kuwaza tumezulmiwa karbia point 7 na marefa hii ligi tungeimaliza mapema sana
 
Kwan Arsenal hatuna uwezo wa kushinda game 10 mfululizo?
Man city ya pep haina ubora uo kwa msimu huu bro
 

Porojo hizi
Mna kariri sana,Arsenal awepo Partey City anafungwa Itihad
Arsenal ni team bora kabisa msimu huu tena by far sio hata close
Mechi ile Partey ndani ku neutralize attacks za City kisha kumsogezea Saka aondoke nao hawa City wangelala tu
Partey is Arsenal and Arsenal is Partey
 

Mpira una siku na siku, kuna siku Partey uwa off, yaani anakuwa hay upo mchezoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…