Arsenal (The Gunners) | Special Thread

The #Arsenal XI to face Everton tonight at the Emirates Stadium.

Martinelli-Trossard-Saka front three again [emoji91]

What are your thoughts, Gooners
 
Leo ni kuwauliza Everton waliwezaje.

Villa alimpiga 7 Liva next match Liva aliwauliza Villa waliwezaje.

Ni migoli ya haraka haraka tu
 
Wanted Partey in for Jorginho and some added creativity with Tierney/ESR but we move. Will be very hard to break this 451 block today. Luckily, no Calvert-Lewin means Everton's out ball won't be anywhere near as effective as Goodison
 
Yaani Kwa hizi post za hamis77 za hivi karibuni.. .tusiposhinda kina flano watatawala humu mpaka jumamosi
[emoji38][emoji38]brother tunaipenda Arsenal na wachezaj wake ndio ila kusema duniani mhhh hpn aisee
 
Best shooter kwetu ni Martinelli it makes sense kumuweka kati yeye kuliko Martinelli lakini nahisi Trossard anaoffer link up play kwenye hii 4 3 3 better kuliko Nketiah.

Kwa uwezo huo wa Trossard hata Martinelli atapata chances za kuingia kwenye boksi kama mechi iliyopita goli lilivyopatikana. Nketiah ana safari ndefu kidogo kufit kwenye hii false 9
 
Everton msiniangushe. Droo inatosha kwa leo
 
Nketiah ni forward mzuri sana shida yake ni kutotumia nafasi anazopata vya kutosha.mimi namprefer yeye kuanza mbele kuliko hawa akina Martineli na Trossard ni mpambanaji sana vile vile na ana press vizuri
 
Hii game inafanana sana na ile ya kwanza, Everton wanaonekana Wana plan na wanaifanyia kazi na hili linaonekana kila wakati wanapopata nafasi ya kutushambulia kwa counter attack

Arsenal wanaonekana wapo wapo tu, wanacheza ilimradi tu utadhani wako London colney wanafanya mazoezi, hakuna uhatari wowote ule wanauonesha pindi wanapoenda kushambulia

Wasipokuwa makini yatajirudia yale yale ya last game unakula kimoja game kwisha, Everton wanaonekana wanajua wanachokifanya, wamepata counter Tatu ambazo walikuwa wengi kuliko wachezaji wa Arsenal ni basi tu hawana watu hatari mbele
 
Hii mechi imeshakua ngumu Arteta hanaga plan B yaani hatuna on target hata moja first half
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…