Huyu Eva anatakiwa akandwe za kumtosha zimkolee.Mikel Arteta says Thomas Partey will train with the Arsenal squad today ahead of the Everton match on Wednesday. Partey only trained once pre-Leicester last week. #
United walifanya kazi ndogo tu wakapata goli 3, nyie ni wiki sasa bado mnafanya uchambuzi mechi mliyoshinda 1 - 0 😂 anguko lenu linakaribia.Kama kuna kazi ngumu waliopata Leicester ni kupiga shuti kuelekea golini kwetu.
Hawakupata kona na shuti halizidi 1 na lenyewe ni nje ya lango.
Arsenal tulipiga kona 8. Passes 600+.
Tazama hapa.
Arsenal ilikuwa na wachezaji wa 4 tu wanaokaba, ndani ya sekunde 3, wakarudi wote na kuwa 10.
Ili ufanye hivi unahitaji kuwa na kocha mwenye akili wachezaji vijana na wanaofundishika.
Thus why wachezaji Kama Auba ,ozil ,Pepe walioneshwa mlango wa kutokea
View attachment 2532479
United walifanya kazi ndogo tu wakapata goli 3, nyie ni wiki sasa bado mnafanya uchambuzi mechi mliyoshinda 1 - 0anguko lenu linakaribia.
Arsenal hawezi kubeba ligi ambayo Erik ten Hag na Pep ni makocha.
Old Trafford mlifanywaje na EtH? 😂Ten jagi huyu ambaye timu yake inarukaruka ?
Huyu Ten jagi ambaye alipokuja Emirates alikuwa anaomba mechi apate sare au yup? Huyu ambaye aliingia kwenye box la Arsenal mara 13 ndan ya dakika 90?
Ten jagi ni kocha wa kawaida Sana
Sasa mnauwezo wa kugombea kombe gan zaidi ya Carabao?Jibu swali kama Arsenyani alitolewa kwenye hayo mashindano mlitaka tukatae kubeba kombe?
Mngekuwa na Goli nyingi mnafunga Hadi Sasa mngekuwa na GD 13?Old Trafford mlifanywaje na EtH?
Kila siku mnajisifia mpira mzuri halafu matokeo kagoli kamoja. United sisi ni ushindi tu mpira mzuri tunawaachia makocha vilaza kama Arteta.
Kama hujui uliza!Sasa mnauwezo wa kugombea kombe gan zaidi ya Carabao?
Nikuulize wewe, pasi nyingi kwenye mechi zimekusaidia vipi kubeba Carabao Cup? 😂Mngekuwa na Goli nyingi mnafunga Hadi Sasa mngekuwa na GD 13?
Una akili kweli ?
Hata hiyo mech ya OT mlipaki Basi na Kiungo yupo Lokonga,Old Trafford mlifanywaje na EtH?
Kila siku mnajisifia mpira mzuri halafu matokeo kagoli kamoja. United sisi ni ushindi tu mpira mzuri tunawaachia makocha vilaza kama Arteta.
Mpira ni mbinu na akili. Arteta ile siku alizidiwa akili, mkubali au mkatae.Hata hiyo mech ya OT mlipaki Basi na Kiungo yupo Lokonga,
Ndio maana nawashangaa Sana mnavyompamba Ten jagi , mnaopitia Sasa ni upepo tu na hapo mmetumia €250m ndio mnabeba Carabao
Mshukuru Refa aliwabeba pale OT Goli la Martinell likakataliwa
Kama hujui uliza!
Timu pekee kwenye ligi 5 kubwa Europe ambayo ina uwezo wa kushinda makombe yote 4 ni Manchester United.
Leo na kesho ni mechi za FA Cup, niambie Arsenyani anacheza na nani?
Sasa mtu hana hata miaka 3 unamuongelea kwamba na yeye ni kocha!!!! Aibu hii.Kweli ww ARV zinakusumbua ,kwani Klopp ,mou as maplayer wameshinda Nini?
Arteta ndio ana miaka 3 kwenye career ya ukocha na anaenda kuwa tishio
Ungeleta mafanikio ya kocha wako ambaye ni mkubwa hata kwa Pep
Hamna uwezo wa kutuzidi ,timu yenu bado Sana inacheza Kama middle teams tuMpira ni mbinu na akili. Arteta ile siku alizidiwa akili, mkubali au mkatae.
Sawa basi, Martinelli alifunga ni 3 - 2 nani anabaki na points 3?
Umeona jinsi gani Arsenyani mnashangilia vitu vitu vya kijinga, eti possession!!!
Watu tunaangalia ushindi tu, hayo mengine ni ya timu ndogo kama Arsenal.
Aisee, dah! Acha tu ninyamazeTuongee Mpira Kidogo Hivi Kwa Sasa Kuna Combination Gani Bora Duniani Ya Mabeki Kushinda Hii..?? Saliba Na Gabriel Hii Ndio Combination Bora Ya Mabeki Kwa Sas Duniani Kama Unabisha Hujui Mpira Nenda Kashabikie Hata Rugby Au Basketball Huko
https://mobile.twitter.com/Jumaallymwiguru/status/1630133254304014339/photo/1
Kesho West Ham anapata kipigo kama wengine waliopita.makombe manne eti
Wewe mwisho wako Carabao , FA huna uwezo wakumfunga hata westham
Europa tunakungoja tukupige
EPL hii soon Spurs anakutoa hapo top 4
Utakata na mguu wakuja humu kubwabwaja
Wewe ARV zinakuharibu akiliSasa mtu hana hata miaka 3 unamuongelea kwamba na yeye ni kocha!!!! Aibu hii.
FA, EPL na EUROPA.Sasa mnauwezo wa kugombea kombe gan zaidi ya Carabao?
Kesho narudi kuichimbua hii commentmakombe manne eti
Wewe mwisho wako Carabao , FA huna uwezo wakumfunga hata westham
Europa tunakungoja tukupige
EPL hii soon Spurs anakutoa hapo top 4
Utakata na mguu wakuja humu kubwabwaja