Jamaa ni world class player, Na moja ya tatizo kuu la Arsenal ni kukosa World Class Players, Ila wale mashbiki wao lilia vile vichezaji vyao uchwara wao huwaona kama wanaviwango vya Dunia.
Wale wapuuzi waliolalamikia usajili wa Jorginho wako wapi? Mashabiki wa Arsenal ni watu wa ovyo sana. Jana alicheza football ya uhakika huku wale wachezaji wenu munaowamwagia radhi wakivurunda uwanjani.