Mmiliki au mabeki wajinga wajinga, yan mabeki wajinga ligi nzima basi ni wa arsenal arteta why hataki kujalibu beki mwingine upande wa Gabdiel, miaka yote na mechi muhimu huyu jamaa ni kichomi
Kipara anashukuru anakimbizana na hawa paka… hii nafasi aliyoipata Arsenal, ingekuwa Liverpool na kuyumba wa city asingemkuta Klopp hata kidgo.
Anguko la Arsenal wamelitaka wenyewe