Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Majabisho tu, hakuna kitu..Poooor poooor
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mlifika hatua ya kuwa kero hadi kwa vyombo vya usalama
Now mitaa itatulia
Poleni bossTunangoja nafasi ya 3 maana ya pili ya Man utd au Man city then tunaenda kuloose Tena kule kwao..
Yaani kabisa unakubali forward ni Nketiah
Mkuu mlikua vzr tu.. Sema nyie wnyw mkaanza ubairi ambapo mlitakiwa ongeza nguvu dirisha ili la January hapa... Ubingwa wa EPL ni mgum sana hauna janja janja lzm kikosi kiweze kuvumilia heka heka nyng.Arsenal haitakaa itokee iwe title contender never ever never ever
Ndugu yamekua hayo tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kocha mwenyewe ana mpira wa aina moja tu unategemea nini,ni mjinga tu huyu
Sema me naona January kwenye usajili mambo ndo yalipokuwa magumuNever ever haitakaa itokeee members humu tunadanganyana Arsenal ni team ya kisenge no vision at all last season tukalia and now today tunalia
Niwaite hao kenge? [emoji23][emoji23]KENGE hutawaona humu
So far arsenal amepiga mpira mkubwa sana
Yenyewe anaweza asiipate.Nafasi ya 4 inamuhusu arsenal
Msema kweli.Arsenal haitakaa itokee iwe title contender never ever never ever
Mashabiki wa asenyani wanajisifia kupiga mpira mkubwa halafu point wanazisikilizia kwenye bomba.Niwaite hao kenge? [emoji23][emoji23]